Wewe una hali mbaya kuliko "watoto wa primary" ushahidi ni ulivyochangia bila tafakari (yaani kama ulisoma shule haikukusaidia)watoto wa primary ndiyo wanaweza kuamini uongo kama huu.
...ngumu kumesa alafu haishikiki,wataanzia wapi kupinga facts....magamba mbona hayapingi hii post au hawajapata buku 7 leo? viva CHADEMA
Hizo ni baadhi ya picha kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya Makuyuni wilayani Monduli.Huu ni uzinduzi wa kampeni za mgombea wa chadema zilizoongozwa na kamanda Lema. Uchaguzi katika kata hii unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Diwani wa kata hii kupitia CCM.View attachment 94474View attachment 94475Hizo ni baadhi ya picha kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya Makuyuni wilayani Monduli.Huu ni uzinduzi wa kampeni za mgombea wa chadema zilizoongozwa na kamanda Lema. Uchaguzi katika kata hii unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Diwani wa kata hii kupitia CCM.
Mgombea anayeiwakilisha chadema kwenye mbio hizi alikuwa mwanaccm lakini kutokana na mizengwe magambani alienguliwa na chama hicho pamoja na kuwa alimzidi mgombea ambaye amepitishwa na magamba kwa zaidi ya kura mia nne.
Habari zinatonya kuwa jina lake liliminywa kwa maelekezo ya mheshimiwa mbunge wa Monduli na ndo maana jamaa akakimbilia kwa wanaojali haki.
Kusema ukweli jamaa anakubalika sana kwenye kata hii na huenda kata hii ikawa kata ya kwanza kwa wilaya ya Monduli kumpata Diwani wa upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze mwaka 1992.
Mkuu Molemo asante kwa Taarifa , bali mimi ntasubiri kidogo , maana hawa wamasai wakipewa Mishikaki na Pombe tu ( kama anavyofanya Ma mvi ) wanarudi walikotoka .
Kuna vielement vya ukweli hapo lakini siku hizi kuna mabadiliko makubwa mkuu!Mamvi atafanikiwa kwa baadhi ya viongozi wa mila tu na sio kwa watu wote wa makuyuni.Na kwa taarifa yako huyu mgombea wa chadema ni kijana wa mmoja wa viongozi wa mila hivyo mamvi hawezi akawapata viongozi wote wa mila.
Viongozi wa mila bado wanaheshimiwa sana na jamii yetu ya kimasai hivyo mashauri yao bado yanapewa vipaumbele.
Kuna vielement vya ukweli hapo lakini siku hizi kuna mabadiliko makubwa mkuu!Mamvi atafanikiwa kwa baadhi ya viongozi wa mila tu na sio kwa watu wote wa makuyuni.Na kwa taarifa yako huyu mgombea wa chadema ni kijana wa mmoja wa viongozi wa mila hivyo mamvi hawezi akawapata viongozi wote wa mila.
Viongozi wa mila bado wanaheshimiwa sana na jamii yetu ya kimasai hivyo mashauri yao bado yanapewa vipaumbele.
[/TD]:kev:[h=3]M4C Kwa Lowassa: Mamia wachukua kadi za CHADEMA Monduli[/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Godbless Lema akiwakabidhi kadi za CHADEMA wananchi wa Monduli katika kata ya Makuyuni
kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani. Mamia wamehama CCM na kujiunga na CHADEMA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]M4C Kwa Lowassa: Mamia wachukua kadi za CHADEMA Monduli[/h]Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo ameitikisa vilivyo CCM Monduli.
Lema ambaye alikuwa akizindua kampeni za udiwani katika kata ya Makuyuni ameshangazwa na umati mkubwa wa watu uliohudhuria kuunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Mara baada ya kumwaga sera vilivyo huku akimnadi mgombea wake zaidi ya wanachama 700 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kukabidhiwa kadi za CHADEMA.
Watu mbalimbali wamesema kwa siasa za Monduli hilo ni pigo kubwa kwa CCM kwani ilikuwa inaonekana kwa mkoa wa Arusha CCM walau inajivunia ngome yake maeneo hayo.
[/TD]Kiukweli,Godbless Lema ametushinda kama Chama cha Mapinduzi.Lema hazuiliki,hadhibitiki. Hongereni sana mliokuwa 'wanamagamba' wenzangu kwa kuamua mlivyoamua. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam