Godbless Lema asambaratisha CCM Monduli

Godbless Lema asambaratisha CCM Monduli

Kiukweli,Godbless Lema ametushinda kama Chama cha Mapinduzi.Lema hazuiliki,hadhibitiki. Hongereni sana mliokuwa 'wanamagamba' wenzangu kwa kuamua mlivyoamua. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

good Analysis
 
Good, tupe na picha za magamba yakipokea kadi mpya mkuu

Mbona hii sasa ni sawa na kuwakashifu watu ambao wamefanya uamuzi mzuri kama huu wa kujiunga na timu ya ukombozi? Maoni yangu ni kwamba jina gamba lisitumike kwa wanaobadilika na kuwa makamanda wa ukombozi. Litumike tu kwa wale wanaoendelea kuikumbatia CCM pamoja na kuuona uchafu wake wote.
 
amefanya mambo mazuri sana leo, magamba yamechakachua wagombea wao sasa mgombea wa watu karudi chadema na anakula shavu, viva sironga, viva lema, viva makuyuni
 
Huyu mgombea alishinda kwenye kura za maoni kupitia ccm kwa zaidi ya kura 700, chakushangaza ccm wakaamua kumpitisha mshindi wa tatu ambaye kitaaluma ni kibaka mzoefu. Sasa kamanda ameamua kuchomoka na waliompigia kura wote zaidi ya 700.
Tunawakaribisha kwenye harakati za ukombozi!
Makuyuni for chadema!
 
Wekeni picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kaza buti kamanda, tunakuaminiaaaaaa! Watake wasitake, Lema ni kiboko cha magamba Arusha. Wanasema kwa maandishi na maneno, lakini mioyoni mwao wanakubali kuwa Lema JEMBE.
 
Hizi ndio habari mnazopenda kuona jamvini, kusifiwa na kusifiana hata pasipo stahili, ila sio kukosolewa
 
Hizi ndio habari mnazopenda kuona jamvini, kusifiwa na kusifiana hata pasipo stahili, ila sio kukosolewa

Kukosolewa na nani? Na Lumumba Project? Hapana Chadema haiwezi kupokea ushauri kutoka kwa watu wanaolipwa buku 7 bali itachukua ushauri kutoka kwa watu wenye nia njema na Taifa hili.
 
Vva kamanda Lema. Wafumbue wanachi macho na masiko halafu zifungue akili zao utaona kura zitakavyopigwa kwa CDM 2015.
 
Vungeni buti vizuri makamanda, safari imebakia mwendo mdogo sana kufika!!
 
Kafanya kweli kwa mzee mamvi? safi sana
 
Mabadiliko huja kwa utaratibu ulio dhahiri lakini dhuluma hujificha na kudhani kuwa watu hawaoni hongera kamanda Lema
 
Back
Top Bottom