Godbless Lema apata ajali

Godbless Lema apata ajali

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Mbunge wa Arusha mjini, Mhe.Godbles Lema amepata ajali ya gari alasiri hii. Ajali hiyo imetokea katika eneo la Burka, karibu na Uwanja wa ndege wa Arusha. Alikuwa akielekea bungeni-Dodoma.

Gari lake-Land Cruiser limegongana na Suzuki. Magari yote mawili yameumia vibaya, hasa Suzuki, kiasi cha kutoamini kama kuna mtu katoka salama. Hata hivyo Mungu ni mkubwa, Mbunge, Dereva wake na watu wengine wako salama.

Ameahirisha safari, amerejea mjini kwa taratibu nyingine, ikiwa ni pamoja na kucheki afya hospitali.
attachment.php
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    58.9 KB · Views: 12,239
MUNGU anaendelea kumtetea LEMA na hila zote zinazoelekezwa kwake....
 
mungu ni mwema huwalinda watumishi wake,pole kamanda wa ukweli mh Lema
 
Asante Mungu kumlinda kamanda wetu maana mapambano hayajaisha.
 
Daaah, Pole zake nyingi sana Kamanda wetu

Hizi ajali mbona zimemuandama sana Kamanda Lema? Nakumbuka hii ni ya pili baada ya ile ya kule Kahama. Bora isiwe ni masuala ya Kisiasa maana hawa wenzetu hawaishi uharamia.!

Ashukuliwe Muumba kwa kimuepusha na balaa hili.

BACK TANGANYIKA
 
Hizi ajali hizi saa hizi zimeshatuondolea mchungaji wa kanisa letu la K.K.K.T boko Mungu awatie nguvu washarika wote wa boko pamoja na familia yote ya Baba mchungaji.
 
ana stress baada ya kujua harudi bungeni tena october anyway pole lema
 
Back
Top Bottom