Godbless Lema ampongeza Kitila Mkumbo

Siasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
View attachment 3432224
Tatizo kubwa wengi tunaona kama kuwa upinzani ni uadui au kuwa na rafiki na mtu wa chama tawala ni msaliti. Sisi sote ni ndugu ila kila mmoja wetu ana mawazo tofauti na mwenzio na pia ana mapenzi ya itikadi ya chama flani. Haya yote yasifanye undugu wetu wa miaka na miaka kugawanyika kisa kutofautiana mawazo. Tukianza kubaguana taratibu tutaanzakubaki wa chama flani baadaye itakuja wa mkoa fkani mwisho utasikia wa dini flani ambapo ni jambo baya sana. Sioni tatizo kuwa na rafiki chama tawala au chama pinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…