Godbless Lema amchomesha John Pambalu.

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,455
Reaction score
15,260
Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.

Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.

Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
 
ccm ni wapumbavu toka lini sare za polisi tanzania zikawa na crown nyeusi hivyo au jinsi mlivyo wapumbavu huko lumumba mnatuona wote ni machoko kama mlivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…