Godbless Lema akatazwa kupiga kampeni Arusha Mjini

Godbless Lema akatazwa kupiga kampeni Arusha Mjini

Du watu wote tungekuwa na hisia kama za uko arusha ccm chali mapema
 
Asante kamanda kwa taarifa.......
mtaani kwetu CCM wamegoma kuweka diwani.........hatuna mgombea wa CCM kabisa...........Sijui shida ni nini.........

Hakuna shida mkuu wamesoma alama za na nyakati.
 
Asante kamanda kwa taarifa.......
mtaani kwetu CCM wamegoma kuweka diwani.........hatuna mgombea wa CCM kabisa...........Sijui shida ni nini.........
Kata gani hiyo mkuu na mkoa gani. Kumbe CCM majidai ya bure wanakosa mpaka wagombea ?!!
 
Lema ni mbunge anayesubiri kuapishwa tu akuna kingine
 
Ukiitegemea JF pekee kama chanzo chako cha info utapotea tu.

Akina Seleman Zedi walioshinda kwa 70% wanapiga kampeni halafu Lema mwenye less than 55% mwaka 2010 eti asipige kampeni.

Serikali za mitaa 2014 matokeo yalikuwaje?

Ngoja tuone.
 
Hivi mtu anajiita mwanasheria halafu anadanganya umma waziwazi.

Nilidhani utakuja na analysis ya kisomi juu ya hali ngumu imayomkumba lema Arusha.

Wa

Hapo kwenye RED ndipo ulipokosea we chekechea. Ungeandika hivi: Juu ya hali mgumu iliyoikumba CCM hapo Arusha. Watu wote wangekuona wewe chekechea wa nguvu.
 
Asante kamanda kwa taarifa.......
mtaani kwetu CCM wamegoma kuweka diwani.........hatuna mgombea wa CCM kabisa...........Sijui shida ni nini.........

Aisee.
Kumbe bado kuna mambo ya kuwekewa mgombea na chama???
Nilidhani wanachama ndo wanajitokeza kugombea kumbe wengine wanawekewa wagombea na chama?
 
Afu kuna watu humu wanasema lema ashindi Arusha...Hawatujui wana Arusha hawa..Mabadiliko yalianzia hapa...Ccm hawana nafasi hata ya ubarozi wa nyumba kumi...

Wambie wambie hao wakuja. Viva Lema, Viva Lowasa.
 
1Kawawakilisha wana arusha bungeni, 2.kashiriki kutunga sheria bungeni 3. kaisimamia na kuishauri serekali kwa wajibu wa mbunge unavyotaka. Na chakuongezea kawafundisha watu wa Arusha kutokuwa na nidhamu ya woga na unafiki.

Umenifumbua macho.
Kumbe watu wa Arusha ni waoga na wanafiki..
Loh!!
 
Back
Top Bottom