Mkuu hawa jamaa ni mazuzu! Wanaweza mtukana.. Ila sasa wanaogopa jamaa atawanyooshaHahahahahaha!! Kwani Magu hawawezi kumtukana?
Hawawezi!Hahahahahaha!! Kwani Magu hawawezi kumtukana?
Weweeee umtukane Dr.Magufuli?? Unadhani JK yule mpaka kina Mzito Kabwela walikuwa wanamtukana hovyo au waitishe maandamano waone.Mkuu hawa jamaa ni mazuzu! Wanaweza mtukana.. Ila sasa wanaogopa jamaa atawanyoosha
Hivi Msigwa sijui alishapimwa akili kwa kummunga mkono Lowassa
Wanaukumbi.
Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Raia Kikwete aliyemaliza muda wake.
JK kaukanwa sana yeye na familia yake kaitwa mcheza ngoma, tezi dume, mcheza bao, mnywa kahawa, mswahili, haya sasa kaondoka kaja mtu wa shoka JPM.Na bado watammiss sana, HA HA HA HA HA, Mungu mkubwa na atamlipia mbaba wa watu alivyokuwa akidhalilishwa na matusi na watoto wadogo anaoweza kuwazaa ati kisa siasa, hata wazee watu wazima ambao tuliwaheshimu kama kina slaa nao walithubutu kumtaja mpaka mama yake, NAFURAHI SANA WANAVYONYOOSHWA NA MAGUFULI, Haya rais mkali mnae endelezeni kudeka awanyooshe, ha ha ha ha ha. HONGERA JK, HONGERA MAGUFULI.
Hivi wamemmiss kwa lipi?Na bado watammiss sana, HA HA HA HA HA, Mungu mkubwa na atamlipia mbaba wa watu alivyokuwa akidhalilishwa na matusi na watoto wadogo anaoweza kuwazaa ati kisa siasa, hata wazee watu wazima ambao tuliwaheshimu kama kina slaa nao walithubutu kumtaja mpaka mama yake, NAFURAHI SANA WANAVYONYOOSHWA NA MAGUFULI, Haya rais mkali mnae endelezeni kudeka awanyooshe, ha ha ha ha ha. HONGERA JK, HONGERA MAGUFULI.
Naona unaendelea kumtukana kiaina.JK kaukanwa sana yeye na familia yake kaitwa mcheza ngoma, tezi dume, mcheza bao, mnywa kahawa, mswahili, haya sasa kaondoka kaja mtu wa shoka JPM.
Hakuna mahali nimeona Watanzania wakisema heri utawala wa Kikwete kuliko MwinyiHao achana nao.Wakati wa Mwinyi walisema heri wakati wa Nyerere.Mwinyi alipoondoka akaja Mkapa wakasema heri wakati wa Mwinyi.Mwinyi alipoondoka akaja Kikwete wakasema ni heri utawala wa Mwinyi kuliko wa Kikwete.Kikwete kaondoka kaja Magufuli wanasema heri wakati wa Kikwete!!!
Na bado wanavuna laana ya kutukana watu ambao hawajawakosea kitu.Kikwete aliwalea sana na kuwabeba mno lakini hawakubebeka.Alikuwa akiwasikiliza sana wapinzani mpaka CCM tunamnunia lakini wakawa wanamwona Mpuuzi tu na kumtukana kila siku.
Walipiga yowe kuhusu Lowasa kuwa fisadi Kikwete kutokana na kupenda kuwasikiliza akawasikiliza
Kikwete alikuja kujua mwishoni wapinzani hawana maana walipomchukua Lowasa na kumfanya mgombea wao.! Alibaki mdomo wazi haamini kuwa ni wanafiki wakubwa kiasi hicho.Angekuwa anaendela kushika uongozi awamu ya Tatu kikwete asingesikiliza kabisa wapinzani na asingekaa nao karibu tena wala kunywa nao chai ikulu.Ni wanafiki na vigeu geu ambao hawawezi aminika kupewa nchi kwa ukigeu geu wao waweza uza nchi mchana jua linawaka.
Ni ukweli usio pingika kuwa JK alikuwa n Bonge la Rais na alikuwa mvumilivu sana, Hawa UKAWA watamkumbuka sana JK,walisha tuambia nchi Ipo auto pilot sasa wanalia kama watoto wadogo,kweli wanaisoma nambaHao achana nao.Wakati wa Mwinyi walisema heri wakati wa Nyerere.Mwinyi alipoondoka akaja Mkapa wakasema heri wakati wa Mwinyi.Mwinyi alipoondoka akaja Kikwete wakasema ni heri utawala wa Mwinyi kuliko wa Kikwete.Kikwete kaondoka kaja Magufuli wanasema heri wakati wa Kikwete!!!