Godauni ya mazao

Godauni ya mazao

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
653
Godauni ya mazao inauzwa ina uwezo wa kuhifadhi tani 500 za mazao na ina mashine kubwa mbili ndani za kukoboa mpunga zenye uwezo wa kukoboa tani 50 kwa siku. Liko barabarani pembeni ya stendi kuu ya mabasi Dumila na kuna eneo kubwa nje lenye zaidi ya ekari moja na nusu linalofaa kujenga hoteli kubwa au gest ya vyumba vingi. Bei ni milioni sabini down payment asilimia 75 na kiasi kinachobaki tunaandikishana. Nitafute kwa namba hii 0786021840.
 
Back
Top Bottom