God was created when the first con-man met the first fool

Kinachofanya huo uongo wa kuwepo Mungu udumu hadi leo ni nini? ni wazi inaonekana hadi leo kumekosekana ukweli wa kuweza kuondoa huu uongo na ndiyo maana hadi leo huo uongo bado upo kwa maana ukweli bado haujajulikana.
Kwani uongo ukidumu na kuaminika kwa kuwa ukweli wa kuuondoa uongo huo haujajulikana, huo uongo unaacha kuwa uongo kwa sababu ukweli haujajulikana?
 
Jurjani najua imekuingia unabaki unatapa tapa tuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
Naona unaendelea kubahatisha, weka hoja na ujibu hoja.

Tuendelee...
 
Ona hii nguruwe!!!!

Umesoma post zangu vzr??

By the way, siwezi kuhangaika na ww, kila uzo unacomment UHARO
Huwa nasoma kwanza kisha najibu au nahoji.

Kusema nimeandika UHARO hakufanyi nilichokiandika kiwe UHARO kweli.

Nacheka sana. Ukiwa na hoja au jambo jipya nistue, nije kumaliza kazi yangu kama nilivyimaliza hapa.

Nipo ....
 
Jurjani najua imekuingia unabaki unatapa tapa tuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
Hili tatizo la kutokujibu hoja, sijui mtaliacha lini vijana.
 
Una mawazo mazito sana. Umesoma? Kama umesoma, umesomea mambo gani mwenzetu ukaelimika hivi hadi wewe ukafikia kujua yote haya, ambayo wengine hatuyajui?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…