Jibu ni Rahisi tu..!Kinachofanya huo uongo wa kuwepo Mungu udumu hadi leo ni nini? ni wazi inaonekana hadi leo kumekosekana ukweli wa kuweza kuondoa huu uongo na ndiyo maana hadi leo huo uongo bado upo kwa maana ukweli bado haujajulikana.
Wame fail wapi?...Hata fundamentals za Modern Physics unazifahamu wewe?Even the scientists failed to find the source of "gravity" therefore there must be the first cause known as God. Faith starts where the reason ends
Sasa Mtu akishasema Dunia haipo Kuna haja Tena ya yeye kusema Mlima Kilimanjaro haupo?Hivi nyie ma-atheist mbona sijawahi kuwasikia hata siku moja mkimpinga Shetani?
Unajua mnajivimbisha vichwa vyenu kujifanya mna akili sana kumbe hakuna kitu.
Hebu niambie, majini (Jini) ni nini na asili yake in ipi?
Mtu mweusi anastaajabisha sana. Ni rahisi kwake kuiga Imani ya mtu mweupe kuliko kuiga mambo yenye faida mf. Teknolojia toka kwa mtu mweupe.
Ni ushamba unawasumbua na sio kingine.
Hakuna majini Wala shetani Ila kuna MunguHivi nyie ma-atheist mbona sijawahi kuwasikia hata siku moja mkimpinga Shetani?
Unajua mnajivimbisha vichwa vyenu kujifanya mna akili sana kumbe hakuna kitu.
Hebu niambie, majini (Jini) ni nini na asili yake in ipi?
Mtu mweusi anastaajabisha sana. Ni rahisi kwake kuiga Imani ya mtu mweupe kuliko kuiga mambo yenye faida mf. Teknolojia toka kwa mtu mweupe.
Ni ushamba unawasumbua na sio kingine.
Einstern aliulizwa je mungu yupo akajibu kutokana na hivi na vile basi kweli yupo.Jibu ni Rahisi tu..!
God ni simple answer ya swali lolote Lile
So wajinga wengi wanakimbilia hapo kujibu maswali magumu
Mpaka mtuanatambua uwepo wa mungu jua kua ametumia akili nyingi.The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.
Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..
Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..
Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.
Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..
Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..
Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Hizi doctrine za wahindi na wachina zina wavuruga sana vichwa vyenuSio kwamba Mungu hayupo, hata wewe pia ni Mungu. Shida inakuja vile tunavyomchukulia huyu Mungu sijui kumwabudu, kumsifu kumtolea sadaka n.k hapa ndipo tulipologwa na wazungu. Hakuna Mungu wa aina hiyo Mungu ni Mimi na wewe yaani sisi ni Mungu.
Hizi doctrine za wahindi na wachina zina wavuruga sana vichwa vyenu