Really crap form a really low mind.
Huyu mpuuzi hajui chochote!
Utalii mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 15%, mwaka 2019 ulikua kwa 3.6%
Uwekezaji mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 28%, mwaka 2019 ulikua kwa 4%
Mauzo ya nje ya mazao ya kilimo mwaka 2019 yameanguka kwa 50%
Ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja toka 2010 mpaka 2015 liliongezeka kwa karibia dola 400 lakini miaka 5 ya Magufuli limeongezeka kwa dola 100 tu.
Halafu anatokea mjinga mmoja anasema kipindi cha Magufuli uchumi umekua kwa kasi ya ajabu! Crap. Ujinga kuna wakati nadhani, nacho ni kipaji. Huyu mleta mada ataendelea kuwa mjinga wa kudumu.
Msifu Magufuli kwa mambo mengine lakini siyo kwenye kukuza uchumi.
Sent using
Jamii Forums mobile app