God knows better

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,668
729,824
IMG-20170507-WA0025.jpg
 
Ukisikia mwanamke wa shoka ndio kama huyu. Akitoka hapo anamalizia siku yake na shughuli za nyumbani. Na hakuna anaye appreciate bidii na kukutuma kwake.


Nawasikitia sana kina Mama wa kiafrika kwa jitihada zao za kuweka familia sawa. Kwa kweli si haki kuteseka kihivi, I love and appreciate all women except wa bongo fleva na bongo movie type.
 
Baada ya miaka kadhaa tutakuwa tunasema. "India walikuwa na hali ngumu kuliko sisi"
 
Halafu wakija kwetu wanajifanya matawi Sana
Lakini tujiulize ni wapi tunakosea mpaka hawa foreigners wanatuzidi katika nchi yetu wenyewe! Lazima tubadilike jamani! Tujifunze kutoka kwao! Mwenye Enzi Mungu tujalie hekima na vipawa milele yote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom