God is not mocked(Mungu Hadhihakiwi)

God is not mocked(Mungu Hadhihakiwi)

Je, nani ataenda kulipa damu ya Lissu mbele ya Mungu

  • Caesar

    Votes: 0 0.0%
  • Firauni

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .
ni ajabu kwa jamii forum kuruhusu kura ya kichochezi kiwango hicho
 
Mimi kwangu hata mjipange ktk Mtwara mpaka Kongo mkisoma hiyo albadi yenu poa tu, kwa maana siamini huo ujinga!
Una kila dalili kuwa akili zimesha kuruka tayari ila hutambui. Usubiri uanze na kubaka na kulawiti wanao ndio utajua kuwa albadiri mliyosomewa imesha kuathiri mpaka unakula mayai yako
 
Mimi siyo Serikali, ila yoyote aliyehusika kwangu ni Mzalendo!
Ila kwa hili la lissu CCM hamtumii akili hata kidogo , na mmepandikizwa roho ya ajabu kwa mtu asiye stahili na ndio maana mungu amedhihirisha kuwa hakustahili kuuawa pamoja na mazingira yote kuwahakikishia ameuawa maana hana hatia hiyo, LISSU SI MSALITI MSILISHWE MANENO TUMIENI AKILI ZENU MTUFAFANULIE USALITI WA LISSU NI UPI kwa vielelezo madhubuti msilishwe maneno na mtu anaye penda kupata sifa kwa namna yeyoye.
 
Mimi kwangu hata mjipange ktk Mtwara mpaka Kongo mkisoma hiyo albadi yenu poa tu, kwa maana siamini huo ujinga!

Sasa kama hauamini huo ujinga si uwaache wenye kuamini waendelee kufanya ibada yao wanayoiamini,kinachokufanya uwazuie huku ukiwa huiamini hiyo dua yao ni nini sasa mkuu?
 
Sasa kama hauamini huo ujinga si uwaache wenye kuamini waendelee kufanya ibada yao wanayoiamini,kinachokufanya uwazuie huku ukiwa huiamini hiyo dua yao ni nini sasa mkuu?

Ni wapi na lini nimemkataza yoyote kufanya chochote? Huo uwezo nautoa wapi?
 
Ni wapi na lini nimemkataza yoyote kufanya chochote? Huo uwezo nautoa wapi?

Wewe si ndiye uliyesema kuwa kwa yaliyomtokea lissu,anastahili adhabu ile ya kushambuliwa kwa bunduki na kujeruhiwa kule,kwa hiyo kwa hesabu rahisi za topic ya logic,inawezekana wewe ni mmojawapo wa waliohusika na hiyo kadhia iliyomkuta lissu na ndiyo maana umeafiki udhalimu aliofanyiwa
 
Wewe mwenyewe umesema ,,inawezekana" hivyo tayari jibu unalo kwamba siyo mimi nilibahatika kufanya hivyo!
 
Wewe mwenyewe umesema ,,inawezekana" hivyo tayari jibu unalo kwamba siyo mimi nilibahatika kufanya hivyo!

Kubalini basi wewe and the likes mashekhe wafanye yao wasome Dua lao la Albadir kwa imani yao wakimlalamikia Mungu wao na ukizingatia kuwa nchi haina dini,tatizo nini yakheeee,au mnaogopa kuanza kuendesha vigari vya watoto???
 
Back
Top Bottom