God is not mocked(Mungu Hadhihakiwi)

God is not mocked(Mungu Hadhihakiwi)

Je, nani ataenda kulipa damu ya Lissu mbele ya Mungu

  • Caesar

    Votes: 0 0.0%
  • Firauni

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .

Masiihi Dajal

Member
Joined
May 30, 2017
Posts
13
Reaction score
9
Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatofautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi.

Iwapo umevunja amri 10 za Mungu lazima utaumbuka. Njia pekee ya kuomba msamaha nikusema ukweli na kumfuata yule uliyemdhulumu kuomba radhi na kutubia. Viongozi wa dini wahubiri hili.

Yule anayejinadi anamuogopa Mungu, ukiona tu watu hawakuombei Mungu, jua kwamba Mungu amekuumbua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kiongozi akazuia watu wasimuombe Mungu ila tu pale anapokuwa anatambua Mungu hayuko nae. Mwisho, utawala ni dhamana, Hakimu wa mahakimu ni Mungu.

Lakini kwa nini nakubaliana na wapinzani katika suala Zima la kuikosoa serikali: Watu wakinyamazia uovu maangamivu hayachagui. Naomba nifananishe nchi ya Tanzania na jahazi iliyoko kwenye kina kirefu na dharuba.

Hivi tukiwa katika safari hiyo akitokea mtu akawa anatoboa Meli hiyo na kwa kuwa anatutishia na yuko tayari kutuua tumnyamazie? Viongozi wa Dini na viongozi wastaafu, tunaanza kuona madhara yake kwa Kukaa kimya.

Jahazi ikitobolewa haijalishi ukubwa wa tundu, iwapo anaetoboa jahazi hakatazwi, wala kukaripiwa na wale waliomkabidhi madaraka meli itazama.

Mhe Tundu Lissu ameona mbali na amejitolea nafsi yake. Ukweli utabakia palepale uchunguzi kutoka mashirika kama Scotland Yard, FBI yataibua pia tuhuma nzito ya Scotched Earth Policy...
 
Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatafautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi. Iwapo umevunja amri 10 za Mungu lazima utaumbuka. Njia pekee ya kuomba msamaha nikusema ukweli na kumfuata Yule uliyemdhulumu kuomba radhi na kutubia. Viongozi wa dini wahubiri hili. Yule anayejinadi anamuogopa Mungu, ukiona tu watu hawakuombei Mungu, jua kwamba Mungu amekuumbua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kiongozi akazuia watu wasimuombe Mungu ila tu pale anapokuwa anatambua Mungu hayuko nae. Mwisho, utawala ni dhamana, Hakimu wa mahakimu ni Mungu. Lakini kwa nini nakubaliana na wapinzani katika suala Zima la kuikosoa serikali: Watu wakinyamazia uovu maangamivu hayachagui. Naomba nifananishe nchi ya Tanzania na jahazi iliyoko kwenye kina kirefu na dharuba. Hivi tukiwa katika safari hiyo akitokea mtu akawa anatoboa Meli hiyo na kwa kuwa anatutishia na yuko tayari kutuua tumnyamazie? Viongozi wa Dini na viongozi wastaafu, tunaanza kuona madhara yake kwa Kukaa kimya. Jahazi ikitobolewa haijalishi ukubwa wa tundu, iwapo anaetoboa jahazi hakatazwi, wala kukaripiwa na wale waliomkabidhi madaraka meli itazama. Mhs Tundu Lissu ameona mbali na amejitolea nafsi yake. Ukweli utabakia palepale uchunguzi kutoka mashirika kama Scotland Yard, FBI yataibua pia tuhuma nzito ya Scotched Earth Policy...

Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
 
Unawajua wasaliti wewe?? Hivi waliotuongiza kwenye shimo la umasikini na mikataba mibovu yameisha Mimi ni wa risasi?Wako wengine akina Mkapa,JK na hata JPM mwenyewe kwa kule kivuko kibovu.Mlishawamiminia risasi hawa??

Msitufanye Watanzania wapumbavu,huu upumbavu wenu na wenye viti wenu waliotuibia na kutufilisi usishie Lumumba.
 
Tukikasirika watatafuta pakutokea wasipaone. Sasa hivi tumewashitaki kwa Mungu wameanza kukosa muelekeo Mungu yeye ujumbe wake unafika kwa wakati mwafaka. Uchumi ambao unayumba utawayumbisha sana na itafika wakati watalazimika kuwaomba wananchi radhi
Unawajua wasaliti wewe?? Hivi waliotuongiza kwenye shimo la umasikini na mikataba mibovu yameisha Mimi ni wa risasi?Wako wengine akina Mkapa,JK na hata JPM mwenyewe kwa kule kivuko kibovu.Mlishawamiminia risasi hawa??

Msitufanye Watanzania wapumbavu,huu upumbavu wenu na wenye viti wenu waliotuibia na kutufilisi usishie Lumumba.
 
Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi![ ipo siku yatakurudia kumtuhumu muongofu ukamuacha mwenye makosa! Urais haukumfaa magu
 
Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatafautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi. Iwapo umevunja amri 10 za Mungu lazima utaumbuka. Njia pekee ya kuomba msamaha nikusema ukweli na kumfuata Yule uliyemdhulumu kuomba radhi na kutubia. Viongozi wa dini wahubiri hili. Yule anayejinadi anamuogopa Mungu, ukiona tu watu hawakuombei Mungu, jua kwamba Mungu amekuumbua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kiongozi akazuia watu wasimuombe Mungu ila tu pale anapokuwa anatambua Mungu hayuko nae. Mwisho, utawala ni dhamana, Hakimu wa mahakimu ni Mungu. Lakini kwa nini nakubaliana na wapinzani katika suala Zima la kuikosoa serikali: Watu wakinyamazia uovu maangamivu hayachagui. Naomba nifananishe nchi ya Tanzania na jahazi iliyoko kwenye kina kirefu na dharuba. Hivi tukiwa katika safari hiyo akitokea mtu akawa anatoboa Meli hiyo na kwa kuwa anatutishia na yuko tayari kutuua tumnyamazie? Viongozi wa Dini na viongozi wastaafu, tunaanza kuona madhara yake kwa Kukaa kimya. Jahazi ikitobolewa haijalishi ukubwa wa tundu, iwapo anaetoboa jahazi hakatazwi, wala kukaripiwa na wale waliomkabidhi madaraka meli itazama. Mhs Tundu Lissu ameona mbali na amejitolea nafsi yake. Ukweli utabakia palepale uchunguzi kutoka mashirika kama Scotland Yard, FBI yataibua pia tuhuma nzito ya Scotched Earth Policy...
Sio kila kitu Magufuli.. Kukulacho kimo nguon mwako
 
Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!

Kwa maneno haya,ni dhahiri pasi na shaka ya kuwa mmehusika kwa 100% na kilichomtokea Tundu Lissu,lakini uzuri ni kwamba mhanga amesalimika,hivyo mjiandae tena kumlipua na mabomu kabisa manake smg zimegonga mwamba,nimeamini mungu akiamua,hata iweje kama siku yako ya kufa haijafika,hutakufa,akija uraiani kila kitu kitadhihirika na mtabaki mnajihorojea tu
 
Mimi sijahusika lkn aliyehusika kwangu ni Mzalendo mkubwa sana, isitoshe ana risasi kila mahali hivyo muda wa nyie kumtumia umekwisha!
 
Albadir ndo mwarobaini wenu nyie wadhalimu mnaoiharibu nchi yetu nzuri hii,hapo ndio tutaona nani mzalendo wa kweli,kwani albadir ndio itachagua mzalendo wa kweli baada ya kusomwa,nashangaa mnaweweseka,pilipili usioila yakuwashia nini??
 
Mimi kwangu hata mjipange ktk Mtwara mpaka Kongo mkisoma hiyo albadi yenu poa tu, kwa maana siamini huo ujinga!
 
Unawajua wasaliti wewe?? Hivi waliotuongiza kwenye shimo la umasikini na mikataba mibovu yameisha Mimi ni wa risasi?Wako wengine akina Mkapa,JK na hata JPM mwenyewe kwa kule kivuko kibovu.Mlishawamiminia risasi hawa??

Msitufanye Watanzania wapumbavu,huu upumbavu wenu na wenye viti wenu waliotuibia na kutufilisi usishie Lumumba.
Tatizo la mtu mweusi naliona kwenye fikra zinazowakilishwa na maandishi yako mkuu Tetty.

Yupo mtu fulani ambaye siku zote ni chanzo cha wewe kuwa maskini, nafsi yako haiwezi kukuonyesha udhaifu wako hata angalau kwa sekunde moja tu!!.

Kwako kila rais na awamu yake ni sababu ya matatizo yako, ila jinsi gani na wewe ni sehemu ya umaskini wako, hilo sio swala muhimu kwako.
 
Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatafautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi. Iwapo umevunja amri 10 za Mungu lazima utaumbuka. Njia pekee ya kuomba msamaha nikusema ukweli na kumfuata Yule uliyemdhulumu kuomba radhi na kutubia. Viongozi wa dini wahubiri hili. Yule anayejinadi anamuogopa Mungu, ukiona tu watu hawakuombei Mungu, jua kwamba Mungu amekuumbua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kiongozi akazuia watu wasimuombe Mungu ila tu pale anapokuwa anatambua Mungu hayuko nae. Mwisho, utawala ni dhamana, Hakimu wa mahakimu ni Mungu. Lakini kwa nini nakubaliana na wapinzani katika suala Zima la kuikosoa serikali: Watu wakinyamazia uovu maangamivu hayachagui. Naomba nifananishe nchi ya Tanzania na jahazi iliyoko kwenye kina kirefu na dharuba. Hivi tukiwa katika safari hiyo akitokea mtu akawa anatoboa Meli hiyo na kwa kuwa anatutishia na yuko tayari kutuua tumnyamazie? Viongozi wa Dini na viongozi wastaafu, tunaanza kuona madhara yake kwa Kukaa kimya. Jahazi ikitobolewa haijalishi ukubwa wa tundu, iwapo anaetoboa jahazi hakatazwi, wala kukaripiwa na wale waliomkabidhi madaraka meli itazama. Mhs Tundu Lissu ameona mbali na amejitolea nafsi yake. Ukweli utabakia palepale uchunguzi kutoka mashirika kama Scotland Yard, FBI yataibua pia tuhuma nzito ya Scotched Earth Policy...
Tundu kajitolea maisha yake?mbona mbowe alisema yupo poa?
 
Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
Uchawi sio lazima ushike dawa,hata Amini alikuwa na akina maliamungu nyuma yake,na ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya,mmeferi vibaya sasa hivi mnanuka dunia nzima. Wauaji.
 
Mimi siyo muuwaji, ila Tundu Lisu ni Msaliti!
 
Back
Top Bottom