God gives us what we deserve...

God gives us what we deserve...

jlm

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
29
Reaction score
18
The saying is; God gives us what we deserve.
It's a popular saying that people like to use but I'm curious about it.

Does He, really? So if you have a bad husband, bad friends, family members, colleagues etc, it's because you deserve it?

If bad things happen to you, it's because you deserve it?

Please share your thoughts...

Source: Linda Ikeji blog
 
God ain't got nothing to do with anything people do or go through.

And the whole god idea is just a bunch bull as far as I'm concerned.
 
The Decisions you Make today affects you tomorrow...

Kwahio kuna maamuzi unayoyafanya wewe kwa kujua au kutokujua ambayo ndio yatasababisha kitakachotokea..., Kuhusu deserve hakuna kiumbe anaye-deserve matatizo, ila sometimes uzembe wa mtu unaweza ukasababisha shida atakazopata mbeleni; mfano kufuja mali ujanani na kutokuweka akiba kutapelekea yeye kupata shida uzeeni...

Lakini wakati mwingine ni bahati mbaya au upuuzi / unyama wa mtu unweza kupelekea maafa., mfano mwenza wa mtu akibadilika au akianza kuleta upuuzi (upuuzi wake uta-affect familia yake na watoto wake) ingawa huenda hao watoto hawana kosa. Au Trauma kama mtu akibaka (mtu anayebakwa) anaweza akawa affected na kubadilisha maisha yake yote
 
Ok sasa hapo inakuaje kwa suala la mtu kuzaliwa kwenye familia duni na familia inayojiweza? sababu wengine maisha tangu wamezaliwa ni ku struggle tu lakini wengine ndo kazaliwa familia au ukoo yani hafikirii hata kesho yake itakuaje sababu ipo yani everythng z thr always..hapo inakuaje?
 
Kama umenisoma hapo juu majibu yako yapo wazi kabisa.., Decision you Make au What you do today affects you tomorrow; kwahio juhudi zako leo zinaweza kuwasaidia watoto wako; ila vilevile kutokujiweza kwa mzazi wako sio guarantee kwamba na wewe usijiweze (inabidi usibweteke) jitahidi kuchuma ili kuwapa wanao mtelemko; ingawa kutokana na jamii husika au ugumu wa maisha ya jamii husika huenda usifanikiwe kutoka kiuchumi, ila hata bila utajiri unaweza ukawapa wanao elimu na upendo ambao ni priceless..
 
Somehow true BUT still it s not the END, its the BEND only..... Zaidi ni intesion na nia za mtu mwenyewe.
 
God ain't got nothing to do with anything people do or go through.

And the whole god idea is just a bunch bull as far as I'm concerned.

then wait until your soul reach your throat,surely you will ask him to return to do what u missed.
 
then wait until your soul reach your throat,surely you will ask him to return to do what u missed.

Umewahi kusikia "usimkabe mwenzio utamtoa roho" huko sasa wanaamini roho iko kooni sasa hawa nao utaambiaje!!!!????
Wasubiri roho ifike gotini!!!!!??????
 
The saying is; God gives us what we deserve.
It's a popular saying that people like to use but I'm curious about it.

Does He, really? So if you have a bad husband, bad friends, family members, colleagues etc, it's because you deserve it?

If bad things happen to you, it's because you deserve it?

Please share your thoughts...

Source: Linda Ikeji blog

Almighty God gives us what we choose,if you choose right path he will make things for you easy towards easy reaching good end,if you choose wrong path,he will make easy towards easy reaching evil end.
 
So when a child gets raped..., what then..., did she choose the wrong path ?
 
^^
Yes...but we have power to change the course of life
^^
 
Kiingilish nasema mimi maimuna. Mungu alitupa uwezo wa kutambua jema na baya, hilo ndo kubwa kuliko yote. Hakutupa kinga ya majanga kama maradhi na ajali na mengineyo yamkutayo binadamu ila ametupa njia za kutokea au/na kuishi humo. Kuna huu wimbo sijui kauimba nani umenigusa sana "oooo msikilize Mungu, msikilize Mungu, sikia sauti yakeee.." Mungu ambariki mtunzi huyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom