go go go king mswati, kula mema ya nchi.

go go go king mswati, kula mema ya nchi.

zimwimtu

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
1,988
Reaction score
1,097
jamaa kachagua tena kigoli. Mungu ampe nin jamani...lol lol
 

Attachments

  • Princess_Swaziland_013.jpg
    Princess_Swaziland_013.jpg
    45.9 KB · Views: 977
  • mswati2.jpg
    mswati2.jpg
    62.6 KB · Views: 845
  • Reed-Dance-Procession-1.jpg
    Reed-Dance-Procession-1.jpg
    63.3 KB · Views: 1,009
yaani sisi waafrika ni wabinafsi sana,hapo anapoongeza ni hela ya walipa kodi itamtunza huyo mwanamke mpya na nchi yenyewe masikini ni balaa kwa kweli
 
Mabinti wazuri kwelii,sasa huyu jumla ameshakua na wanawake wangapi sasa,???
 
Mabinti wazuri kwelii,sasa huyu jumla ameshakua na wanawake wangapi sasa,???

Halafu Vichuchu vyao vimesimama saa sita, sio kama yale tuyaonayo mijiji humu yashatepwereka, tepwera...... kwa kuchechezewa na wapita njia
 
Halafu hao wote ni bikra. Sio bikra ya sabuni anazouza Maimatha,ni ile bikra original!
 
Bora huyu anaoa kabisa, kuna mzee mmoja yeye haoi, na anachukua wake za watu tu!
 
Mhubiri asema
"Ubatili mtupu, Ubatili mtupu, mambo yote ni Ubatili.
Mhubiri 1:2
 
Jamaa hajui kufanya kazi yoyote ile, ye nikugegeda tu, mpuuzi yule.
 
Duuh!!! mbona bikira weng hivyo wakat uku kwetu adimu sana ila nina mashaka hizo bikira ni za mbele tu ndo wanamtunzia mfalme na nyuma wanapiga vijana kama kawa.. Swali la kujiuliza ina maana hiyo nchi haina vijana mpaka bikra wawe weng hivyo wakati mtaani kwetu hadi shule za primary bikira ni za kuhesabu zinavunjwa knoma kwenye vigodoro
 
Kwahiyo Ina maana mabinti wote huko ni mabikra? Na wanasubiri kuolewa na King?

Ndio tujiulizee ina maana wametulia sana etii ,mi hapana mwanaume wa kuoa wake wengi sio mtamu kabisa,unakua huna uchungu nae,hao hapo wanaenda kwaajili ya umaskini tu
 
Back
Top Bottom