donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Halafu uku bukoba naona bado haijafika mkuuWangekupa ile K vant mpya mkuu
Husikonde itafika tu.Halafu uku bukoba naona bado haijafika mkuu
Kama unachanganya na k.vant hiyo umeharibu sana
Kwann mkuuKama unachanganya na k.vant hiyo umeharibu sana
Hahaha, kuipooza tena mkuu?Duh aisee mkuu we kiboko yaani unaichanganya na kvant mi hapo ningeipoozea na redbull
Atafute mbandule ataipataHusikonde itafika tu.
Mzee wa maakuli na manywaji katika ubora wako.
Hahaha, hii alhaji mzeeWapi hapo Vasco Da Gama....
Hahaha, OTCHiyo stayle inaitwa; OVER THE COUNTER....