Waya sio wimbo wa kitoto kama mnavodhani...
huu wimbo wa golow haueleweki wa south africa sio wasauzi ,yani hawaeleweki....
wapunguze kuiga iga....
wimbo haueleweki..
Waya sio wimbo wa kitoto kama mnavodhani...
huu wimbo wa golow haueleweki wa south africa sio wasauzi ,yani hawaeleweki....
wapunguze kuiga iga....
wimbo haueleweki..
Ni kweli, wasanii wa bongo fleva hawana mtazamo hata kidogo. Hakuna msanii yeyote wa bongo fleva aliyewahi kupiga muziki wake mwenyewe....kwao kila kitu ni kukopi na kupaste kisha wanabatizwa fulani ni King wa Kwaito wakati kwaito ni muziki wa South Afrika, au fulani ni malkia wa Zouk na beats za Kinigeria....fleva inaboa kishenzi na wafuasi wake ni sawa na misukule ya Wema au Chadema.....wanaamishwa tu bila kuwaza au kufikiri.