Hapana baba, mie nisingembakisha. Ningemtapeli kichwa hadi unyayo, siachi hata nywele! I never do failed miaaiona, you know your baby gal hehehe.
Afu uacje kutegea malezi hukooo
Halafu wewe......Kusema cha ukweli nasali kwa miungu na mizungu huyu mdogo wako aliyezaliwa jana asije chukua vijitabia vyako vya kunitapeli kwa black mail......
na wewe andreakalima hao wanawake wa mtandao watakutoa roho kakaangu!au ni domo zege sana hebu mtafute Kaizer, Mtambuzi, Dark City, SnowBall ,The Boss wakupe uzoefu wao hautapata hizi shida kila siku!ukitaka kuwatokea kibusarabusara saaaana mtafute HorsePower