Nisaidie app hiyo niweze kuenjoy gmail kwenye hii simu bana; kwa sasa natumia lakini nazunguka kweli.............nimejaribu kuchecki na site yao sikupata msaada ;
Any clue and how to install it on my phone...........or can it work?
Nikichagua interenet browser landing page ya ngu ni google.
In this case nimesearch m.gmail.com/app nikaletewa majibu mengi lakaini nikacha "Gmail for mobile" nikafika page amabayo ina option za kudownload from Andoid market ama itunes....................sasa hizi connections zake zina kuwa timed out kila ninapojaribu
hadi iwe inatumia android os ndio unaweza kuwa na hiyo access, cha msingi google namna ya kufanya imap au pop3 configuration kwa mobile utapata alternative au fungua m.google.com alafu nenda more utaona gmail na hapo utaweza download moja kwa moja hiyo application