gmail account

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Jamani naomba msaada wa kuingia kwenye account yangu nimejaribu kuingia nikaweka password then ikanitaka niweke jina la rafiki yangu wa utotoni lakini jibu lake nilikwisha lisahau toka nilipo sign up na gmail account hivyo nashindwa kuingia naomba kwa anaejua nifanyeje kulijibu swali hilo ambalo nilikwisha lisahau
 
pole sana inaonekana hukuwa na 'best friend' utotoni, umesahau??

Vp wakati wa kuregister hukujaza secondary email?
kama google wameshindwa kukusaidia sijui kama sisi tutaweza, jitahidi kufuata maelekezo yao hatua kwa hatua utafanikiwa
 
Nilikuwa naye na nikajaza lakini nimesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…