Globalization na serikali yetu ya kimasikini

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Hoja yangu hapa ni kuwa kutokana na mambo ya International Relations in the era of Globalization serikali zote duniani zimenunuliwa au msamiati mzuri ni kuwa hazina tena nguvu za ku act katika arena mambo ya kimataifa

In short market forces non state actors wko more valuable kuliko serikali i.e makampuni kama Richmond,Goodworks, Scowcroft na zinginezo ambao sina haja ya kuzitaja. Kwa mnaofuatilia mtajua kuwa mwanzo wa wiki hii inayokwisha benki ya pili kwa Ukubwa duniani ya MORGAN STANLEY iliuza stake kiduch kwa serikali ya CHINA kwa $5 billion( mind you, MORGAN STANLEY ina worth $1.2 TRILLION kwahiyo $5 BILLION ambayo hawa jamaa wa Chinese Investment Corp wamenunua toka kwa MS ni just a drop in a bucket kwa hao jamaa) na nadhani mnajua kam hii yote ilikuwa ni njia ambayo M.S wametumia kuraise capital after taking $9.4 billion katika zile writedowns on mortgage-related investments. na Morgan stanley hawako pekeyao kwani tunajua kuwa serikali ya Abudhabi ilinunua 4.9 percent ya citygroup kwa kiasi cha $7.5 billion.

zaidi soma hapa:

Morgan Stanley, the No. 2 U.S. investment bank, on Wednesday reported a larger-than-expected fiscal fourth-quarter loss due to a $9.4 billion writedown from its exposure to subprime and other mortgage-related investments.

The company also said China's government-controlled investment vehicle has invested $5 billion to help replenish its capital.

China Investment Corp., which also owns a stake in private-equity firm Blackstone Group LP, will control no more than 9.9 percent of Morgan Stanley once its investment converts to common shares in 2010.

ap_morgan_stanley_070919_ms.jpg

http://www.ft.com/cms/s/0/294ed78a-a...0779fd2ac.html

Kwa msionielewa pointi yangu ni hii:

Contrary to popular belief kuwa serikali zinalose nguvu katika hii era ya globalization tunaona nchi nyingi za ARABUNI,FAR EAST mpaka PACIFIC ASIA zikifight back kwa kuweka hazina kuwa ya hizo SOVEREIGN WEALTH FUNDS na kwa mlio UK nadhani mliona jinsi serikali ya Qatar ilivyokuwa aggressive katika kutaka kununua Sainsbury huku Thames water ikiwa imenunuliwa na hao waarabu

Sisi kama Tanzania tunauweza kuwa na mfuko mkubwa tu wa hizi SWFs kwani rasili mali tunazo,uwezo tunao ila tunahitaji kuweka system sawa.

Ili hii iweze kufanya kazi kunahitajika ushirikiano wa karibu kati ya HAZINA,BENKI KUU,FEDHA na FOREIGN.

In short tunahitaji LOOK EAST POLICY badala ya kwenda kupiga mapicha na kuwasikiliza matapeli wa akina ANDY YOUNG na ma investor wa Kiingereza wasioeleweka.

Bora tuwape hayo madini hao wachina kwa kujua kuwa Watajenga barabara,hospitali,nyumba,madaraja na of course watastay out of politics

sijui wazee hili mnasemaje?kuna mengu naweza kusema lakini yote yatatokana na michango yenu

KUHUSU china investment corporation hebu soma hapa:
http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/7046855.stm
 
Globalisation ni hatua moja muhimu sana kwa jamii zote Duniani.
Globalization maana yake ni kufungua njia za kufanya biashara bila pingamizi nyingi za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Hata hivyo namna nchi za Dunia ya 3 zilivyoipokea Globalization kuna uhakika wa asilimia zaidi ya 95 wa kurudisha ukoloni wote uliopiganiwa na nchi nyingi za Dunia ya 3 zidi ya miaka 40 iliyo pita.

Kwanza ni vema wote tutambue kwamba ukoloni wa nchi moja kwenda itawala nchi nyingine ni historia iliyoko kwenye Trash Can.

Agent mpya wa ukoloni Dunia ni Mashirika Binafsi ya Kibiashara ambayo mengi yanamilikiwa na wadhamini wakuu wa serikali za ulimwengu wa 1.
Kama hili la mashirika ya kimataifa linaeleweka na tunajua nani yuko nyuma ya mashirika haya,sisi tulioko dunia ya 3 kwa vyovyote kama tunataka kwenda mbele ni lazima tubuni njia mpya na makini za kujenga mahusiano na mashirika haya ili kuwianisha mwelekeo wa faida itokanayo na shughuli za kiuchumi za mashirika haya yawapo nchini mwetu.

Kuingia mkataba na shirika la kimataifa katika shughuli yeyote ya uchumi katika karne hii ya 21 ni sawa kabisa na kuingia mkataba kama ile mikataba ambayo Jasusi Karl Peters aliingia na watemi wetu takribani miaka 140 iliyopita.

Kibaya zaidi leo tunaingia mikataba lukuki na mashirika tofauti yenye lengo moja,kunyonya na kuhamisha faida kwa hiyo tunajifunga kila kona kwa kamba tofauti.
Pengine ni bora Wakati ule wa Karl Peters tulikuwa tuna deal na serikali ya nchi moja, sasa kila mwenye nguvu anakuja na kamba yake na kutuagiza kwa uangalifu namna ya kuifunga Funda ili iwe taabu kujifungua mambo yakituchachia.
Zamani zile ilikuwa ni rahisi kuipigia kelele serikali ya kikoloni na kudai haki yenu, wakati mikataba tuingiayo leo itabidi tukadai haki yetu mahakamani tena siyo mahakama ya Kisutu? Lo-ndo-n!

Globalization ni nzuri tu kwa wale wenye kutumia 1% ya watu wake ambao ni vipanga wa kutupwa katika fani mbali mbali ku Spear head mapambano.
Globalisazion siyo suala la kuamuliwa na watu wachache wazembe wa akili na wenye kujipendekeza wanaoongozwa na itikadi za chama chao, au watu walio na nyadhifa kubwa serikalini walio kwisha Gonga glass ceiling ya uelewa.
Globalization Ni sula linalo taka watu wenye kuikabili G kujua shughuli nzima ni Pevu kiasi gani na kanuni za kucheza G ni zipi.

Mfano Hivi karibuni Kule london( kama sikosei) Rais wa Rwanda MH Paul kagame alikuwa na shughuli kubwa ya kuinadi Rwanda kwa wawekezaji. Katika Msafara wake alikwenda na Wasomi wengi vipanga wa Rwanda walioko nje na ndani ya Rwanda. Alichonifurahisha ni staili yake ya kujitoa kuwa dalali wa kuiuza Rwanda kwa wawekezaji. Alisimama akafungua mkutano na kuwaambia wawekezaji yeye si mtaalamu wala si msemaji wa masuala ya uwekezaji akaugeukia umati wa wataalamu wake wa fani zote na kuutamburisha kuku akisema ongeeni na hawa mimi nitakuwa pale kwenye kona kujibu masuala ya Usalama wenu na mali zenu mkija kuwekeza Rwanda.

Nikifananisha approach ya Rais kagame na staili ya Rais wetu naona kabisa japo Kagame si msomi kama Kikwete, inaonekana ujinga alishaufuta siku nyingi.

Nashangaa Rais wetu anakuja hapa Marekani kuongea na wawekezaji bila kuwaalika magwiji wakongwe wa fani mabalimbali wenye uzoefu mkubwa waliojaa kila kona hapa Marekani.

Huko Ikulu kungekuwa na watu wenye vichwa nadhani wangewatafuta Vipanga hawa waliozagaa hapa marekani na kuongea nao kwanza ili kujua ni vipi wanaweza kutumia uzoefu wao Elimu yao na ubunifu wao kuisogeza mbele Tanzania kimaendeleo.

Rais anakuja hapa anaishia kuongea na wavuta bangi wachache wenye kutumia majina ya baba zao, watu walioipa kisogo Elimu na kugubikwa na kila aina ya udhaifu na aibu. watamweleza nini rais?Zaidi watamweleza namna ya kuzibua mademu na nani zaidi kwenye Billboard.

Ili kufaidi Globalization ni lazima nchi za Dunia ya 3 kutunga sheria ambazo zitawalinda wananchi wake na kuwawezesha kufaidika na kila aina ya uwekezaji wa mabepari wa dunia ya kwanza.

Kuingia katika Dulu za globalization bila kuwa na sheria madhubuti za kulinda watu wako ndani ya nchi ni sawa kabisa na kunogewa na ngoma ya Mdunduko ichezwayo nje ya nyumba yako wakati ukiwa chumbani kwako uchi. Kisha kwa kujisahau ukatoka uchi wa mnyama na kuivamia ngoma hiyo na kuchezakwa madaha.
Ni kweli umati utalindima kwa shangwe , si kwa kuishangilia aina mpya ya uchezaji wako bali ni kwa kukudhihaki na kukufedhehesha juu aibu yako ya kucheza uchi.
 
Sii Mkapa alikuwa kule kwenye ile tume ya Dunia ya Utandawazi? Mimi nilidhani output ya Hii Tume itumiwe na JK kutafuta mbinu za kukabiliana na utandawazi. May be JK anahitaji Mshauri Mahiri wa Uchumi na Utandawazi- hivi nani Mshauri wa Uchumi wa JK kwa sasa? Ukiangalia hawa wote Mawaziri akina Mramba, Meghji n.k sioni jipya wanaloweza kumshauri JK on purely competence bases on utandawazi!
Another perplexing matter ni kama JK atapenda kuwasilikiza washauri!
Sasa kama anakuja US haonani na wasomi wa Tz- unadhani yuko tayari kupokea ushauri wao akiwa Tz? Anajua % kubwa wa electorates sii wasomi- so it does not matter anyway- huenda atachaguliwa tu 2010!
 
Ku-look east is a strategy to think about. Tatizo langu ni kwa hawa jamaa kuchukia demkrasia ya vyama vingi wasije wakaturudisha nyuma. Kwa wao kutokufuata hii system ya open policy ya vyama vingi sio mbaya kwa kuwa kwa kiasi kikubwa wana system za kudhibiti ubinafsi na ubadhirifu. Sasa najiuliza hivi hawa wajamaa walivyo walafi sasa kama isingekuwa na huo mfumo wa vyama vingi pamoja na press freedom kidogo ingekuwaje?
 
Hiyo Look west policy tuliyokuwa nayo for the last40 years imetusaidia nini? Whats the ppoint ya kuwa na vyama vingi huku serikali haiwezi kuwalisha raia wake?
 
Hiyo Look west policy tuliyokuwa nayo for the last40 years imetusaidia nini? Whats the ppoint ya kuwa na vyama vingi huku serikali haiwezi kuwalisha raia wake?

GT,
Hii hoja nzito yaani to change direction unavyoona unaenda mwelekeo usiofaa? Do you mean U turn? Are we not too late now? Sijui wengine mtakubalina na mimi- haswa waliokaa sana nchi za Magharibi. Mimi natoa mchango on the following;

1. Swala la demokrasi na vyama vingi- ni kama kopi na paste ya West - kwa nchi masikini kama Tanzania it is a luxury! Sasa watu hawana vyoo- na wanasema serikali isiwalazimishe kujenga vyoo laa sivyo haitawachagua- watachagua CUF hii wapi na wapi? Unatumia mfumo wa sheria wa West- mtu kaiba Mabilioni- anahonga pesa hizo hizo na mahakama inasema aachiwe- ndo demokrasi na maendeleo gani hayo?
Police anamkamata mtu na madawa ya kulevya- halafu eti kesi inachukua mwaka... mwishoni anaachiwa! Kwa nini police asimpeleke kwa hakimu na kuhukumiwa na kufungwa kesho yake?

2. Could Vyama Vingi na Demokrasi hii be another social experiment- which can easily be manipulated by west to further their interests almost always?

3. Democracy- campaigns ni pesa nyingi- hivyo walioko madarakani wanaiba pesa za walipa kodi wanatoa wali na kanga wakati wa uchaguzi ili waendelee kuongoza! At the end of 5 years tenure as in Kenya Wabunge wnataka kupitisha sheria walipwe each 100m each kama shukrani kwa kuwawakilisha wananchi! Tanzania hulipwa 30m baada ya kila miaka mitano!

4. Raisi akichaguliwa anafikiria tu what to do to be re-elected in another term and not necessary a long term vision! Ndo maana kila anayechaguliwa anaiba na kuchukua chake mapema!

Mimi nadhani we lack a model of involving people in looking for good leaders in Africa- wa kutulelea maendeleo- sidhani jawabu ni Democracy ya aina hii au vyama vingi! We need something in between Dictatorship/Autocracy (patriotic) kama ya Wachina 70% na Western Democracy 30% at lest kwa miaka 20 hivi kwanza! Hii itatupeleka mbele haraka kuliko ilivyo sasa- ndo maana China wanafanikiwa! Tatizo tunawachia wengine to determine our destiny!
 
Hiyo Look west policy tuliyokuwa nayo for the last40 years imetusaidia nini? Whats the ppoint ya kuwa na vyama vingi huku serikali haiwezi kuwalisha raia wake?

Nitachangia hoja kwa kutumia Moniker yako (GAME THEORY). Dunia inabadilika na sio njia moja pekee yake inayoweza kuleta maendeleo. Katika kila hatua unayofikia kuna njia nyingi unazoweza kupitia, lakini cha muhimu ni kuchagua the best katika kipindi hicho.

Bila wao kujijua demokrasi imekuwa implentation ya GAME THEORY katika masuala ya politics kwa nchi za West. Katika kipindi fulani, ni yule mwenye plan nzuri anachukua madaraka. Na anapochukua madaraka anabadilisha timu nzima ya uongozi. Na vile vyama vilivyoshindwa vinachukua nafasi yao ya kutokuwa madarakani kujifunza kuja na plan mpya. Kwa mtaji huu serikali zimekuwa zinabadilika kuelezea au kutafuta ufumbuzi wa masuala yanayokabili jumuia.

Ukichukua historia ya Marekani utaona ni chama cha Republican kilichondoa utumwa na democrat kilikuwa wabaguzi. Lakini miaka ilivyoendelea sera za democrat zimekuwa za Republican na zile za Republican zimekuwa za democrat kiasi cha kwamba watu weusi wengi wanapenda democrat zaidi kuliko Republican.

Ukienda UK siasa za Tony Blair zilikuwa sawa na za Margaret Thatcher.

Tulivyo-copy kutoka west havisaidi kwa sababu vinatafsiri demokrasi kwa kutumua maana ya kigiriki au kiyunani tu - anayeshinda ni mtawala.
 
Globalization is new terminology in third world countries. Kama ilivyo era nyingine zilizopita globalization ina misingi yake na taratibu zake.

Kwanza nini kilisababisha kufanyika kwa globalization? Kwanza saturation of western markets liquidify the whole globalization movements. Second increases of wealth in far East nations.

Advantage zake globalization ni kubwa sana, kwanza wale wenye excess money badala ya kuziingiza kwenye saving account na fixed account ambazo zinalipa low interest rate, people can now put their money in big investements which have high return. Na kuuingiza pesa zako kwenye hizo investment imekuwa so easy as ever. Second, globalization imerahisisha improvement of technology. Third, sharing of wealth opportunity imeongezeka all over the world.

Factor zote hapo juu ni important if and only if the country is ready prepared to inter into globalization era. Most of the third world nations hazikujiandaa kuingia kwenye globalization, what happened is the western nations force them to join this era. Sasa a lot things went wrong when they tried to enforce globalization system.

Globalization need strong leadership, good educated citizens with high westernize system exposure, and start up capital. Sasa nchi nyingi za dunia ya tatu hazina viongozi wazuri, wasomi wachache wanaojua corparate culture na mtaji wetu sifuri. Sasa matokeo yake tumekuwa dampo la bidhaa zao na chazo cha kupata natural resources.

GameTheory
Citigroup, Stanley and Morgan, Merril Lynch and JP morgan they got the first slap from poor system. Sasa what happen is middle east and Asia government they believe is BUY AMERICA and you will never regreat, it may be good thing or bad movement. Good on the perceptive that this companies always are making high profits. bad move is US people hate globalization because they believe its the end of their power.

So, we have alot to see on this era.
 
Lakini naona hamjajibu hoja za msingi kwenye post yangu ya kwanza na zaidi kuhusu hizo SWFs
 
Nadhani GT unayosema hapa yanaukweli, lakini mimi kama mwafrika naamini kwa uhakika kabisa, we dont need to look WEST OR EAST anymore! kama tulipongalia west tuliishia kunyonywa na kuhujumiwa, kipi kinatufanya tuamini kwamba hawa wachina na wengineo wao watakuja na adhma tofauti? kila mtu anataka kula na China ameamua kutumia hii quite diplomacy kwa sababu anataka raslimali zetu, chukulia Darfur, watu wanakufa kama nzi kwa sababu ya njaa na umaskini na ukandamizaji wa Khartoum, lakini kwa sababu China anakunywa mafuta ya Bashir hataki kujihusisha na shida za hawa wananchi, mpaka sasa watu Sudan wameanza kuandamana wakipinga sera za China! Sasa kipi kinakufanya uamini kwamba China ana nia tofauti na nia waliyokuwa nayo WEST miaka mia iliyopita walipokuja Africa? sema wamekuja zama tofauti ile nia ni ile ile! Kutuibia mali zetu-sema sasa tofauti kubwa ya sasa na wakati ule ni kwamba hizo raslimali tunawapa wenyewe kwa kutumia mikataba feki na rushwa!

Africa tunahitaji kutafuta THIRD WAY tujiangalie ni vipi tunaweza kutafuta marafiki wa kweli ambao wanaweza kusaidiana na sisi katika kuleta maendeleo kwao na kwetu..win win situation. Kwa sasa Africa tunakoelekea inaonyesha dhahiri hatujajifunza lolote kwa ukoloni wa miaka iliyopita. Harafu tunahitaji viongozi ambao hawaangalii petty gratifications (Thanks Madilu for your post above, umeelezea kwa undani). Ukiangalia acha tuu Tanzania lakini Africa as a whole bado, rushwa imetutawala, na kibaya zaidi wazungu na sasa wachina wanatuelewa vizuri sana, they know how to deal with us. Penye udhia penyeza rupia.

Hatuwezi kuanza kufikiria grand investment unazozizungumzia GT kama hatujaweza kufanya hata vitu basic kuwasaidia raia wetu waweze kupata milo miwili. China hakuanza kutafuta investment Africa na kwingineko, kwanza alianza kuwaempower watu wake, na ukifanikiwa kwa hili, basi ujue hata jamii yako itakuunga mkono kwani watakuwa wanajua kinachoendelea.

Africa hatuwezi kuendelea kamwe kwa kuangalia WEST, EAST, NORTH OR SOUTH!!! never!!! We need to look at our selves what went wrong na tuanzie hapo.

Mpaka tutakapoanza kuendesha nchi zetu kama NCHI na sio private property, tutakapoelewa kwamba kila mtu ana uwezo na haki ya kuchangia maendeleo ya nchi yake,...tutaendelea kulalamika. Its just a matter of time China akipata anachokitaka, atageuka na kuanza kudictate terms na tutaanza kulaumu as we have been doing since we became Africa!!

Africa needs itself and not otherwise around! Globalization is here to stay, lakini unapoona mwenye degree ya History ya mwaka 1970 anaenda kunegotiate deal la mamilion ya dola na kijana wa kimarekani au kijeremani mwenye MBA ya Harvard au Oxford, lazima ujue tatizo lipo na ufumbuzi hauko China au US au Ulaya!
 
Yes,
Mimi naafikiana na unayosema- mimi nimetoa way foward! Na mapendekezo yangu hapo juu -je mnasemaje? Uzalendo tu wa viongoz wenye vision na waadilifu is the bottonm line!
 
Mzalendo, wengi wetu humu tunashindwa kuelewa kwamba hata hawa wenzetu walioendelea na wanaoendelea wanajua wanachokifanya. Sisi hatujui. Yaani wanaweka maslahi ya nchi mbele. Sasa mpaka leo ukiona mkuu wa kaya anateua watu kwa sababu ya ushkaji, bunge linashindwa kuhoji mambo kwa sababu ya kuogopa rungu la EL (wasipoteze ulaji), Waziri anasaini mkataba hotelini London na mainterns wa kizungu mkataba ambao ungekuwa na maslahi makubwa kwa wavuja jasho wa Tanzania, Raisi anaenda kuvutia wawekezaji kwenye conferences na makongamano baada ya kuwajengea mazingira nyumbani......! you can go on and on...lakini bottom line, waafrika tunahitaji kubadilika na kuwa responsible kwa mustakabali wetu. Kuanzia kwa babu yangu kijijini mpaka mkuu wa kaya pale magogoni. Hata kama tungepewa pesa zote za BILL GATES na tukafutiwa madeni, we can hardly move forward kwa sababu hatujajua au hatutaki kujua priorities zetu.

The future of Africa is BLEAK unless tubadilike (najua wengi watapinga hili) lakini ukweli ndo huo, na kwa Tanzania sioni kama tuko on the right track. Labda wenzangu mnaona tofauti!
 
Nadhani GT unayosema hapa yanaukweli, lakini mimi kama mwafrika naamini kwa uhakika kabisa, we dont need to look WEST OR EAST anymore! kama tulipongalia west tuliishia kunyonywa na kuhujumiwa, kipi kinatufanya tuamini kwamba hawa wachina na wengineo wao watakuja na adhma tofauti? kila mtu anataka kula na China ameamua kutumia hii quite diplomacy kwa sababu anataka raslimali zetu, chukulia Darfur, watu wanakufa kama nzi kwa sababu ya njaa na umaskini na ukandamizaji wa Khartoum, lakini kwa sababu China anakunywa mafuta ya Bashir hataki kujihusisha na shida za hawa wananchi, mpaka sasa watu Sudan wameanza kuandamana wakipinga sera za China! Sasa kipi kinakufanya uamini kwamba China ana nia tofauti na nia waliyokuwa nayo WEST miaka mia iliyopita walipokuja Africa? sema wamekuja zama tofauti ile nia ni ile ile! Kutuibia mali zetu-sema sasa tofauti kubwa ya sasa na wakati ule ni kwamba hizo raslimali tunawapa wenyewe kwa kutumia mikataba feki na rushwa!

Africa tunahitaji kutafuta THIRD WAY tujiangalie ni vipi tunaweza kutafuta marafiki wa kweli ambao wanaweza kusaidiana na sisi katika kuleta maendeleo kwao na kwetu..win win situation. Kwa sasa Africa tunakoelekea inaonyesha dhahiri hatujajifunza lolote kwa ukoloni wa miaka iliyopita. Harafu tunahitaji viongozi ambao hawaangalii petty gratifications (Thanks Madilu for your post above, umeelezea kwa undani). Ukiangalia acha tuu Tanzania lakini Africa as a whole bado, rushwa imetutawala, na kibaya zaidi wazungu na sasa wachina wanatuelewa vizuri sana, they know how to deal with us. Penye udhia penyeza rupia.

Hatuwezi kuanza kufikiria grand investment unazozizungumzia GT kama hatujaweza kufanya hata vitu basic kuwasaidia raia wetu waweze kupata milo miwili. China hakuanza kutafuta investment Africa na kwingineko, kwanza alianza kuwaempower watu wake, na ukifanikiwa kwa hili, basi ujue hata jamii yako itakuunga mkono kwani watakuwa wanajua kinachoendelea.

Africa hatuwezi kuendelea kamwe kwa kuangalia WEST, EAST, NORTH OR SOUTH!!! never!!! We need to look at our selves what went wrong na tuanzie hapo.

Mpaka tutakapoanza kuendesha nchi zetu kama NCHI na sio private property, tutakapoelewa kwamba kila mtu ana uwezo na haki ya kuchangia maendeleo ya nchi yake,...tutaendelea kulalamika. Its just a matter of time China akipata anachokitaka, atageuka na kuanza kudictate terms na tutaanza kulaumu as we have been doing since we became Africa!!

Africa needs itself and not otherwise around! Globalization is here to stay, lakini unapoona mwenye degree ya History ya mwaka 1970 anaenda kunegotiate deal la mamilion ya dola na kijana wa kimarekani au kijeremani mwenye MBA ya Harvard au Oxford, lazima ujue tatizo lipo na ufumbuzi hauko China au US au Ulaya!

Masanja ninakubaliana nawe moja kwa moja lakini usisahau kuwa nilichokimaaniasha ni bora tukaanza kuwa na mwelekeo wa kuiga PACIFIC ASIAN MODEL OF DEVELEOPMENT (if it really exist)

Najua nilipozungumzia suala la SWFs inawezekana ikawa ni kweli that was abit too ambitious lakini siyo sababu ya kutojaribu na nadhani tatizo liko kwetu ambako serikali zetu zimekuwa zikifuata mitazamo ya WASHINGTON CONSENSUS na nadhani hiyo ni hatari zaidi. Mfano ukiangalia Mahathir Mohammed wa Malaysia alipokuwa akiwatukana jamaa wa BRETONWOOD lakini at the same time alikuwa anaachia kiduchu kiduchu economic liberalism, na mwishowe Mahathir alisema kuwa jambo la kwanza ni kuwalisha wamalasia chakula cha kutosha kisha mengine yatafuata.

The same naweza kusema kuhusu Singapore ambao wameendelea zaidi lakini at a price of liberty. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa tuna mengi ya kujifunza toka Singapore

In short tuna mengi ya kujifunza kuhusu NIEs kuliko Washington au Brusles

Umezungumzia wa CHINA na policy yao kule Darfur, lakini ukweli ni kuwa hapa kuna double standards kwani watu wengi wamekufa Tanzania, Ghana na Bolivia kutokana na policies za serikali ya uingereza kwa kutulazimisha tubinafsishe maji yetu sasa lets have a lever playing field kabla hatujaanza kuwasikiliza hao wazungu na propaganda zao dhidi ya wachina huku wao wanaendelea kufanya nao biashara kama kawaida

Sasa bora ipi kumpa mchina madini yetu huku wao wanaendelea kujenga Brabara na madaraja bila kutuambia tumpigie kura nani au tuwasikilize waingereza ambao wanatoa ahadi kede kede huku wakiendelea kujiona miungu watu na hakuna walichokifanya zaidi ya kutusomea risala za human rights huku wao wakiwa mstari wa mbele kuzivunja
 
GT,
Mkuu nimekushimu mda mrefu na wewe unajua!

Punguza kungalia ya Singapore na Mahatir- tutafute mifano ya karibu- kuna any SSA aliyeguduate from umasini in the past 15 years?

What has gone wrong in SSA? watu bado wana civil conficts na Rwanda policy ya teritorial expansion unasemaje?

We keep our huose in order- tusiwe too theoritecal let us be practicle!
 
GT, mi naheshimu sana michango yako humu ilienda shule kwa lugha yetu hapa mjini. Lakini ukweli unabaki pale pale, ukiniuliza yupi bora kati ya mwingereza na mchina, mi ntasema wote lao moja ila wanatumia route tofauti! Hatuhitaji anybody kutafuta mstakabali wetu hapa. Siyo Singapore wala Malaysia..kila mtu anahangaikia kinachoweza kumsaidia, maendeleo lazima yareflect hali halisi ya wahusika! The fact kwamba waingereza waliua watu huko Bolivia au TZ kwa sera zao, it doesnt warrant China kuwa complacent wakati watu wanakufa kwa sera zao za kinafiki! Na quote me, China is going to be the worst ally Africa has ever had in years. Hebu njo hapa Dar, angalia hata bidhaa tunazoletewa kutoka China ni fake, fake, fake..yaani Africa sisi ni dumping market ya hawa jamaa (utauliza serikali zetu ziko wapi...hapo tusaidiane kujibu!!) Ukweli ni kwamba China haitutakii mema as such, ana-satsify kiu yake ya malighafi za Africa.

Mzalendo, exactly unachouliza ndo maswali ya wengi hapa, SSA tumekuwa kichekesho, yaani vifo au tragedies za SSA they only serve as a STATISTIC za UN na mashirika mengine. Period! Na bado serikali zetu haziweki mikakati sahihi ya kuinua elimu (imagine TZ na hii elimu ya Lowassa, mwalimu anafundishwa kwa mwezi mmoja harafu anapewa shule!) Can Lowassa take his kid to be taught by such a teacher? surely not! Yote unayoyasema ndo inabidi tuyaangalie in a bigger picture! Na huyu mwalimu unategemea afundishe nini, cha kumsaidia ndugu yako wa Mahenge kujikwamua na ujinga?

Kuhusu Rwanda, I can assure you mzalendo, make no mistake Kagame is a very smart president I have seen. Huyu jamaa ukisikia uzalendo, ndo mzalendo anaipenda na kuitumikia nchi yake, na usishangae in five years to come Rwanda will be very very far na Tanzania tutabaki kulalamika-as always. Bottom line ni kwamba, kama vita inaunufaisha uchumi wako, certainly you will do it, kwani US kaenda Iraq kwa sababu anampenda Muiraq? the same applies to the rest-its another topic within itself! Ila ukweli ni kwamba Kagame is far better than most of our corrupt presidents tunaowahusudi kila siku!
 
WAZEE,
sikatai michangoyenu na nadhani tunaelekea pazuri tuu ila nadhani tunamitazamo tofauti ya ufumbuzi

Najaribu sana kuachana na long posts ili nisije poteza mwelekeo

Ninaposema kutazama EAST sisemi tuige kila kitu bali tuangalie yale mazuri ambayo tunaweza kuyachukua

mimi napropose vifuatavyo:

TUFANYE CIVIL SERVICE REFORMS

TUONDOE WABUNGE WA KUTEULIWA esp WANAWAKE

TUPUNGUZE MAWAZIRI/SERIKALI

SERIKALI ISHIRIKIANE NA PRIVATE SECTOR KATIKA KULETA MAENDELEO

TUACHANE NA SERA ZA WASHINGTON CONSESUS

TUACHANE NA KUOMBA MISAADA YA KUJENGA VIWANJA NA ZAIDI KUJENGA MADARAJA

TU INVEST ZAIDI KATIKA KUINUA INFRASTRUCTURE

I wouldnt mind kama kuyapata hayo hapo juu ni at price of liberety then iwe just like in Singapore. Najua ni radical idea lakini hii ni kuondoa POLITICS katika kuendesha nchi mfano wanasiasa wetu wanaspend muda mwingi kwenye ziara za kisiasa badala ya kujaribu kutafuta ufumbuzi wa mambo mihumu ya wananchi: Mfano LOWASSA na ziara zake zisizo kwisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom