donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,130
Salam wakuu,
Kwa muda wa wiki chache zilizopita nilikua nafatilia articles kadhaa na kuangalia documentaries mbali mbali kuhusu hili swala la conspiracy theories. It has been said kwamba in this world, there are few most powerful people in the world who are calling the shots in every aspect of life ie. They decide who to be the president of which country, the exchange rates, and everything which make benefits to them. Mfano mkubwa ni The Bielderberg group, ambacho ni kikundi flani cha watu ambao ni most powerful kwenye nyanja tofauti mfano mabenki, afya, viongozi wa nchi mbali mbali etc. Sasa jana nikawa naangali conspiracy theory kuhusu Global warming ambapo bwana Jesse anasema hii imekua engineered na wala sio natural factor. Zaidi mkiingia hapa wakuu: m.youtube.com/watch?v=Vp0Mp1KxPOM&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DVp0Mp1KxPOM
Naomba kwa wakuu wenye utaalamu wa sayansi waweze kutujuza if its possible that perhaps global warming is an engineered calamity. Shukrani!