Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

zerothree

Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
33
Reaction score
81
Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫

📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️‍♂️
Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe ni kampuni ya ujasusi na uwekezaji!

👉 THE SECRET ARCHIVES: Chini ya ardhi ya Vatican kuna rafu za vitabu zenye urefu wa maili 53 (85km). Inasemekana hapo kuna nyaraka zilizofichwa za kwanini baadhi ya vitabu (Gospels) viliondolewa kwenye Biblia ili kuwatawala watu. Kwanini Mungu afiche ujumbe wake maili 50 chini ya ardhi? 🚔⛓️
👉 THE BANK OF GOD (IOR): Vatican Bank imekuwa ikitajwa kwenye kashfa za utakatishaji fedha (Money Laundering) kwa miongo mingi. Ripoti ya "Peter’s Pence" ilionyesha kuwa chini ya 10% ya sadaka yenu ndio huenda kwa maskini, 90% inatumika kuziba mashimo ya bajeti ya Vatican! 💸📉
👉 THE LUCIFER TELESCOPE: Vatican inamiliki darubini kubwa kule Arizona (VATT). Wanajua ukweli kuhusu "Aliens" na sayansi ya anga kuliko wanavyowaambia ninyi. Wanasoma Science kwa siri, wanawapa ninyi "Imani" ya hadithi! 🔭👽

📍 2. MAKKA: THE DESERT TOURISM & CIRCULAR ECONOMY 🕋🇸🇦
Waislamu mnadhani mnaenda kufuta dhambi, kumbe mnaenda kukuza GDP ya Saudia!

👉 THE GEOMETRY ERROR: Dunia ni DUARA (Sphere), lakini mfumo wa Qibla unawalazimisha kusujudu kuelekea pointi moja. Ukisujudu ukiwa umbali wa 10,000km, mstari wa mnyoosho unapita angani (Space) na sio Kaaba. Mungu wenu alisahau kuwa aliumba dunia duara? 🌍📐
👉 THE STONE WORSHIP IDOLATRY: Unamcheka mmasai anayesujudia mti, wakati wewe unakimbia kubusu JIWE JEUSI (Meteorite) kule Makka. What is the difference? Hiyo ni "Idolatry" iliyopakwa rangi ya dini! 🪨🤡
👉 THE CLOCK TOWER INSULT: Ghorofa la "Abraj Al-Bait" (Clock Tower) linamilikiwa na matajiri wanaoiangalia Kaaba KWA CHINI. Tajiri anakula Pizza ghorofa ya 100 akikuangalia wewe unavyozunguka kama mchwa chini. Hapo ndipo "utakatifu" unapoishia! 🏢🍕

📍 3. REAL STATISTICS ZA KUTISHA 📊📉
👉 UTAJIRI: Vatican inakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya BILIONI 30 za Dola (Gold, Real Estate, Stocks).
👉 HIJA: Saudi Arabia inapata zaidi ya BILIONI 12 za Dola kila mwaka kupitia Hija tu.
👉 MATOKEO: Nchi 10 masikini zaidi duniani (zote zipo Afrika) zinaongoza kwa kuwa na makanisa na misikiti mingi kwa kila mita ya mraba. Nchi 10 tajiri zaidi (Norway, Denmark, Sweden) zina idadi kubwa ya ATHEISTS (Wasioamini Mungu).
👉 CONCLUSION: More Religion = More Poverty. More Science = More Progress. 🧠🚀

📌
Mzungu na Mwarabu wameungana kutumia "Software" ya dini ili ku-format akili za Waafrika. Mnasubiri mbinguni wakati wao wanajenga pepo yao hapa duniani kwa pesa zenu!

❌ I DON'T ARGUE WITH BRAINWASHED PEOPLE. ❌
Sijaja hapa kubishana na watu ambao akili zao zimefungwa pingu. Kama unataka kutukana, tukana data, usitukane mtoa mada.

Mungu wenu akitaka kunipiga radi, mwambieni niko hapa , asini
subiri nife! I'M OUT! 👋💥💨
 
Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth."

MKUU WA FASIHI YA KIARABU NA BUSARA YA MWANGAZA TAHA HUSSEIN… WASIFU WA AKILI ILIYOYAONA MWANGAZA​

Misalaba MediaJanuary 18, 20260

Imeandikwa na: Mervat Sakr

Nukuu:
Akili pekee ndiyo huona yale ambayo macho hayawezi, na kwamba nuru ya kweli hutoka katika fikra jasiri, si katika uoni wa macho

Taha Hussein hakuwa jina la kupita tu katika historia ya utamaduni wa Kiarabu, bali alikuwa tukio endelevu la fikra, akili iliyomwasi ukimya, na mtu aliyeunda upya uhusiano kati ya binadamu, maarifa na urithi wa kitamaduni. Amezaliwa Kusini mwa Misri mnamo mwaka 1889 katika mazingira duni na yenye upeo mdogo, kisha akapoteza uwezo wa kuona akiwa bado mtoto. Hata hivyo, upofu ambao kwa wengine ungeweza kuwa kifungo cha hatima, kwake uligeuka kuwa msukumo wa kipekee wa kuunda maono mapana zaidi; akili ikawa jicho lake la kwanza, na swali likawa njia yake ya kufikia ukweli.

Elimu yake ilianza katika kuttab, ambako alihifadhi Qur’ani Tukufu na kuupokea lugha ya Kiarabu katika umbo lake safi la mwanzo. Baadaye alijiunga na Chuo cha Al-Azhar, lakini haraka alihisi msongamano wa mbinu za elimu zilizotegemea kuhifadhi na kukariri, pamoja na kufunga mlango wa shaka na kuuliza. Pamoja na kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kisasa cha Misri, Taha Hussein alipata anga tofauti, iliyoruhusu utafiti na mjadala, akafunguka kwa falsafa, historia na fasihi, na hapo mradi wake wa ukosoaji ukaanza kujengeka kwa utulivu na uthabiti.

Dalili za mradi huu zilionekana mapema katika tafiti zake kuhusu urithi wa Kiarabu, alipotoa vitabu kama “Katika Ushairi wa Kijahili” na “Katika Fasihi ya Kijahili”, kisha akapanua maono yake ya uhakiki kupitia “Hadithi ya Jumatano”, “Kutoka katika Hadithi ya Ushairi na Nathari”, “Sura katika Fasihi na Ukosoaji”, “Mabishano na Ukosoaji” na “Ukosoaji na Mageuzi”. Lengo lake halikuwa kuubomoa urithi wala kuudharau, bali kuuweka huru kutoka katika usomaji wa utakaso usiohoji, na kuuweka chini ya mbinu ya kisayansi. Ujasiri huu ulimletea mawimbi ya mashambulizi, marufuku na kesi za kisheria, lakini alibaki thabiti katika imani yake kwamba mwamko wa akili hauwezi kusimama bila uhuru wa kufikiri.

Mazungumzo yake na urithi yalikuwa mazungumzo hai na wahusika wake, si maandiko kimya. Aliandika kuhusu Abu Al-Alaa Al-Ma’arri katika “Kuhuisha Kumbukumbu ya Abu Al-Alaa”, “Pamoja na Abu Al-Alaa Kifungoni Mwake” na “Sauti ya Abu Al-Alaa”. Pia alimjadili Al-Mutanabbi katika “Pamoja na Al-Mutanabbi”, na akasimama kwa tajriba za washairi katika “Hafidh na Shawqi”, huku akipanua upeo wa usomaji katika “Viongozi wa Fikra”, akitoa mifano ya uhakiki inayochanganya kuvutiwa na uchambuzi, bila kutukuza wala kubomoa.

Nchini Ufaransa, alikokamilisha masomo yake ya juu, Taha Hussein alifahamiana na mbinu za fikra za Magharibi, na maono yake kuhusu utamaduni kama kitendo cha pamoja cha kibinadamu yakapanuka. Huko ndiko mawazo yake kuhusu elimu, utambulisho na ufunguzi wa ustaarabu yalipopevuka, mawazo yaliyojitokeza wazi katika vitabu vyake vya fikra kama “Mustakabali wa Utamaduni Misri”, “Kioo cha Dhamiri ya Kisasa”, “Kioo cha Uislamu”, “Kuiga na Kuhuisha”, “Kati ya Kati”, “Maoni Huru” na “Maisha na Harakati za Kifikra nchini Uingereza”. Katika kazi hizi, alitetea dhana ya ufunguzi wenye ufahamu, akiona kuwa utambulisho haulindwi kwa kujifungia, bali kwa mazungumzo ya kina na ya kiuhakiki na dunia.

Upande wa kibinadamu wa tajriba yake ulijitokeza kwa uzuri mkubwa katika kitabu chake maarufu “Al-Ayyam (Siku)”, ambacho hakikuwa wasifu wa kawaida, bali ushuhuda wa kina wa kibinadamu juu ya mapambano ya akili dhidi ya umaskini, ujinga na upofu, na simulizi la kizazi kizima kilichoamini kuwa elimu ndiyo njia pekee ya ukombozi. Sambamba na wasifu, aliandika riwaya na hadithi, akiacha kazi kama “Dua ya Korongo”, “Mti wa Taabu”, “Bustani ya Miiba”, “Upendo Uliopotea”, “Ahadi ya Kweli”, “Walioteswa Duniani”, “Ndoto za Shahrazad”, “Jumba Lililorogwa”, “Bustani ya Wanyama” na “Shule ya Ndoa”, ambako hisia ya kijamii ilichanganyika na mwelekeo wa kimaadili na kibinadamu.

Maslahi yake katika historia na fikra za kidini hayakutengana na mradi wake wa ukosoaji. Aliandika “Pembeni mwa Wasifu wa Mtume” na “Fitna Kuu” katika juzuu zake mbili: Uthman na Ali na Wanawe, akitoa usomaji wa kiakili wa matukio ya msingi katika historia ya Kiislamu, mbali na simulizi za kimapokeo na mihemko ya kimadhehebu.

Taha Hussein pia aliamini katika umoja wa utamaduni wa kibinadamu, akajifungua kwa tafsiri, na kuhamishia katika Kiarabu kazi za fasihi na fikra za dunia kama “Oedipus na Theseus”, “Andromaque”, “Zadig”, “Mfumo wa Waathene” na “Roho ya Elimu”. Pia aliandika “Kutoka Fasihi ya Tamthilia ya Kigiriki”, “Kutoka Fasihi ya Tamthilia ya Magharibi” na “Makala Teule kutoka Ushairi wa Tamthilia ya Kigiriki”, akisisitiza kuwa fasihi ya kibinadamu ni mto mmoja wenye vijito vingi. Aidha, alichangia kufufua urithi kwa kuhakiki “Kalila na Dimna”, akiunganisha kati ya jana na leo.

Taha Hussein alifariki dunia mnamo mwaka 1973, lakini aliacha nyuma urithi hai wa fikra na neno, unaotufundisha kwamba akili pekee ndiyo huona yale ambayo macho hayawezi, na kwamba nuru ya kweli hutoka katika fikra jasiri, si katika uoni wa macho
 
Kwanini mleta maada umepanic kias hicho?

Kwanini umeamua kujilinda kwa matusi kiasi hicho?

Africa ndo bara lenye idadi ndogo zaid ya watu yaan waafrika wote kwa idadi tunazidiwa na taifa moja tu la India
Sasa bas kwanini wazungu na waarabu watumie nguvu kubwa sana kwa watu ambao ni wachache zaid dunian?

Acha kutushambulia watu weus hatujakulazimisha uwe mkristo

Pambana tu hali yako
 
Ulivyo mjinga unadai eti MUNGU atakupiga radi
Yaan hata elimu ya radi huna?
 
101 Explainer

January 2026

Dr. Mordechai Kedar : The One Rule That Explains EVERY Middle East War

View: https://m.youtube.com/watch?v=-sIhy94YQLY
Great Lecture on the culture of the Middle East region to understand how things are determine from every angle not only literature, individual, group ..

Which are Three horses pulling in opposite directions, desert, source of water, enemy or clan, punishment for collobaration with enemy, revenge, washing shame by blood, compensation, commitment, support, group thinking, engraved in this society to survive in this region
Mordechai Kedar is an Israeli scholar of Arabic culture and a lecturer at Bar-Ilan University, Israel. He holds a Ph.D. from Bar-Ilan University in Arabic Studies. Kedar is an academic expert on Arab societies. He served for twenty-five years in IDF Military Intelligence, where he specialized in Islamic groups, the political discourse of Arab countries, the Arabic press and mass media, and the Syrian domestic arena. He is one of the few Arabic-speaking Israeli pundits seen on Arabic satellite channels defending Israel.
 
Jesuits are connected to freemasonry. Adam Weishaupt, the man who created the Illuminati was a Jesuit Professor. The Jesuit Order used Weishaupt during 1776 to create the illuminati as a front organization to infiltrate governments, this is because during this time the Jesuit order had been abolished in the majority of countries for trying to overthrow protestant governments. Weishaupt used free masonic lodges to conduct business meetings, for the newly formed Illuminati organization. Also the Jesuits infiltrated freemasonry by creating and writing the higher degrees of freemasonry at the college of Clermont. Let's just say that the Jesuits have been hiding behind freemasonry for a long time.
 
THE LUCIFER TELESCOPE: Vatican inamiliki darubini kubwa kule Arizona (VATT). Wanajua ukweli kuhusu "Aliens" na sayansi ya anga kuliko wanavyowaambia ninyi. Wanasoma Science kwa siri, wanawapa ninyi "Imani" ya hadithi! 🔭👽

- Kwamba Vatican wanajua aliens na wanafanya siri?.
Hiyo ni speculation tu isiyo na ushahidi thabiti.

- Pia Kibra sio mstar ulionyooka . Ni ishara ya Location na wanaangalia jua (linapoamka na kuzama) + Na uelekeo wa sehem unaposali vs Makka.
Mfano Africa Mashariki na kusini mwa Jangwa la sahara muelekeo wa Kibra ni NE (Noth East). Na mabara mengne inatofautiana maana Point of Reference ni pale Makka. (Sio lazima upatie exactly point). Lakin sio Uko Tanzania alaf unasema Kibra ni uelekeo wa South Africa (south).

Binafsi sioni Shida kwenye hilo.
(Japo mm ni mkristo. Ila hii natetea kwa hoja ya science).

- Vatican kuwa na ushawishi hasa kwenye kuanzisha Shule na kukuza Elimu za Africa havina uhusiano wa moja kwa moja na siasa wala ujasusi.
Makund ya kikatoliki kama Jesuits , White Fathers, Holy Ghost Fathers yalilenda kueneza Dini pamoja na Elimu kwa waAfrica na sio ujasusi au uwekezaji.

Cc
Shem Seran
 
Mtoa mada ni zwazwa...

Taifa la ufalme wa Saudia lilianzishwa na muingereza mwaka 1932 mara baada ya kushirikiana na vibaraka wa ufalme huu wa familia ya Al-Saudi kuidhohofisha na kuivunja dola ya kiislam ya Ottoman mwaka 1924.

Ibada ya hijja ilikuwepo hapa duniani toka enzi za Mtume Ibrahim na mwanawe Ishmael.

Mtume Ibrahim na mwanawe ndio waliamrishwa na Mungu wainenge Al-Kaaba pale makkah.

Watu walikuwa wakitoka kila pande ya dunia kwenda kutekeleza ibada ya hijjah toka enzi hizo za Mtume Ibrahim a.s
 
Jesuits are connected to freemasonry. Adam Weishaupt, the man who created the Illuminati was a Jesuit Professor. The Jesuit Order used Weishaupt during 1776 to create the illuminati as a front organization to infiltrate governments, this is because during this time the Jesuit order had been abolished in the majority of countries for trying to overthrow protestant governments. Weishaupt used free masonic lodges to conduct business meetings, for the newly formed Illuminati organization. Also the Jesuits infiltrated freemasonry by creating and writing the higher degrees of freemasonry at the college of Clermont. Let's just say that the Jesuits have been hiding behind freemasonry for a long time.

Perhaps. You should go back and do the Research.
Its Just another conspiracy theory.
Because freemason stay Neutral regards to Religion.

Jesuit , white Fathers , holy Ghost father pamoja na Freemason wote walikuwa na agenda zao. Na zingine ni siri Ila malengo na asili zao ni tofauti kabisa.

Freemason ni jumuiya ya Mafund Ujenzi. High intellectual kwa kipind kile kuhusu Majengo na wakawa na jumuiya yao. Na connection zao.

Mfano sasahiv useme TLS.
Bila kibali chao na muhuri ww ni mwanasheria goigoi.
Na TLS wanakuwa wanaangalia mwenendo wako.

Sasa back then. 1700's in Europe it was Freemason.
 
Hiyo vatcan bank ni kweli kabisa. Wakati fulani nikiwa nafanya kazi bank nilikua naona miamala ambayo inatoka nje ya nchi kila jumatatu(bila shaka ni makusanyo ya sadaka kwenye misa za jumapili). Itoshe tu kusema jamaa wanapiga hela.
 
Mtoa mada ni zwazwa...

Taifa la ufalme wa Saudia lilianzishwa na muingereza mwaka 1932 mara baada ya kushirikiana na vibaraka wa ufalme huu wa familia ya Al-Saudi kuidhohofisha na kuivunja dola ya kiislam ya Ottoman mwaka 1924.

Ibada ya hijja ilikuwepo hapa duniani toka enzi za Mtume Ibrahim na mwanawe Ishmael.

Mtume Ibrahim na mwanawe ndio waliamrishwa na Mungu wainenge Al-Kaaba pale makkah.

Watu walikuwa wakitoka kila pande ya dunia kwenda kutekeleza ibada ya hijjah toka enzi hizo za Mtume Ibrahim a.s

Nje ya mada.

Ishmael alikuwepo inakadiriwa miaka 4,000 kabla ya Mohamed.

Nje ya Quran. Kuna sehem yoyote imeongelea kwamba Al Qaba imejengwa mwaka gan?.

Wote tunatambua kile ni kituo cha biashara kama ilivyokuwa Kilwa Kivinje. Na lile jiwe lilikuwa adim . Na watu walikuwa wanatoka safar kwenda kuliangalia. Na ndio wakalijengea na kuanzisha tozo ili ulione.
Na baadae Wakureshi ambao walikuwa wapagan wakaanzidha dini na kuliabudu lile jiwe pamoja na miungu yao 360.

Mohamed kabla hajashushiwa wahyi (miaka 25 hadi 39 ) alikuwa ana sali, anafunga ashura na kulizunguka lile jiwe. Kwa imani ya Kikureshi. (Wapagani)

Hapo Uislam haupo kabisa wala allah hayuko.

Na miaka yote hiyo hata ukisema wale mitume 3 wa kiarabu kabla ya Mohamed hawajawah kugusia kuhusu Makka.
Na mitume 21 wa kwenye Biblia ambayo ilikuwepo miaka 600 kabla ya Quran hawakuwah kuliongelea jiwe.

Nadhan inabid ujue.
 
Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫

📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️‍♂️
Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe ni kampuni ya ujasusi na uwekezaji!

👉 THE SECRET ARCHIVES: Chini ya ardhi ya Vatican kuna rafu za vitabu zenye urefu wa maili 53 (85km). Inasemekana hapo kuna nyaraka zilizofichwa za kwanini baadhi ya vitabu (Gospels) viliondolewa kwenye Biblia ili kuwatawala watu. Kwanini Mungu afiche ujumbe wake maili 50 chini ya ardhi? 🚔⛓️
👉 THE BANK OF GOD (IOR): Vatican Bank imekuwa ikitajwa kwenye kashfa za utakatishaji fedha (Money Laundering) kwa miongo mingi. Ripoti ya "Peter’s Pence" ilionyesha kuwa chini ya 10% ya sadaka yenu ndio huenda kwa maskini, 90% inatumika kuziba mashimo ya bajeti ya Vatican! 💸📉
👉 THE LUCIFER TELESCOPE: Vatican inamiliki darubini kubwa kule Arizona (VATT). Wanajua ukweli kuhusu "Aliens" na sayansi ya anga kuliko wanavyowaambia ninyi. Wanasoma Science kwa siri, wanawapa ninyi "Imani" ya hadithi! 🔭👽

📍 2. MAKKA: THE DESERT TOURISM & CIRCULAR ECONOMY 🕋🇸🇦
Waislamu mnadhani mnaenda kufuta dhambi, kumbe mnaenda kukuza GDP ya Saudia!

👉 THE GEOMETRY ERROR: Dunia ni DUARA (Sphere), lakini mfumo wa Qibla unawalazimisha kusujudu kuelekea pointi moja. Ukisujudu ukiwa umbali wa 10,000km, mstari wa mnyoosho unapita angani (Space) na sio Kaaba. Mungu wenu alisahau kuwa aliumba dunia duara? 🌍📐
👉 THE STONE WORSHIP IDOLATRY: Unamcheka mmasai anayesujudia mti, wakati wewe unakimbia kubusu JIWE JEUSI (Meteorite) kule Makka. What is the difference? Hiyo ni "Idolatry" iliyopakwa rangi ya dini! 🪨🤡
👉 THE CLOCK TOWER INSULT: Ghorofa la "Abraj Al-Bait" (Clock Tower) linamilikiwa na matajiri wanaoiangalia Kaaba KWA CHINI. Tajiri anakula Pizza ghorofa ya 100 akikuangalia wewe unavyozunguka kama mchwa chini. Hapo ndipo "utakatifu" unapoishia! 🏢🍕

📍 3. REAL STATISTICS ZA KUTISHA 📊📉
👉 UTAJIRI: Vatican inakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya BILIONI 30 za Dola (Gold, Real Estate, Stocks).
👉 HIJA: Saudi Arabia inapata zaidi ya BILIONI 12 za Dola kila mwaka kupitia Hija tu.
👉 MATOKEO: Nchi 10 masikini zaidi duniani (zote zipo Afrika) zinaongoza kwa kuwa na makanisa na misikiti mingi kwa kila mita ya mraba. Nchi 10 tajiri zaidi (Norway, Denmark, Sweden) zina idadi kubwa ya ATHEISTS (Wasioamini Mungu).
👉 CONCLUSION: More Religion = More Poverty. More Science = More Progress. 🧠🚀

📌
Mzungu na Mwarabu wameungana kutumia "Software" ya dini ili ku-format akili za Waafrika. Mnasubiri mbinguni wakati wao wanajenga pepo yao hapa duniani kwa pesa zenu!

❌ I DON'T ARGUE WITH BRAINWASHED PEOPLE. ❌
Sijaja hapa kubishana na watu ambao akili zao zimefungwa pingu. Kama unataka kutukana, tukana data, usitukane mtoa mada.

Mungu wenu akitaka kunipiga radi, mwambieni niko hapa , asini
subiri nife! I'M OUT! 👋💥💨
Hizi hekaya zilishaimbwa sana..
Ajabu Kila asiokotoe huko mtandaoni hufikiri analeta kitu kipya hapa jamvini
 
Nje ya mada.

Ishmael alikuwepo inakadiriwa miaka 4,000 kabla ya Mohamed.

Nje ya Quran. Kuna sehem yoyote imeongelea kwamba Al Qaba imejengwa mwaka gan?.

Wote tunatambua kile ni kituo cha biashara kama ilivyokuwa Kilwa Kivinje. Na lile jiwe lilikuwa adim . Na watu walikuwa wanatoka safar kwenda kuliangalia. Na ndio wakalijengea na kuanzisha tozo ili ulione.
Na baadae Wakureshi ambao walikuwa wapagan wakaanzidha dini na kuliabudi lile jiwe pamoja na miungu yao 360.

Mohamed kabla hajashushiwa wahi alikuwa ana sali, anafunga ashura na kulizunguka lile jiwe.

Hapo Uislam haupo.
Na miaka yote hiyo hata ukisema wale mitume 3 wa kiarabu kabla ya Mohamed hawajawah kugusia kuhusu Makka.
Na mitume 21 wa kwenye Biblia ambayo ilikuwepi miaka 600 kabla ya Quran hawakuwah kuliongelea.

Nadhan inabid ujue.
unachokiongea halieleweki...meza Ibuprofen kwanza halafu kichwa kikitulia anzisha mada unitag tufanye mjadala mimi na wewe
 
Kama Ukiongelea kwa Iman ya Kiislam huwez elewa.

Mm nimetoa comment as neutral.

Sianzish Uzi. Ilapiga tu ww hesabu. Kuanzia Ishmael had Mohamed ni miaka mingap?.
Na Hakuna mtume aliwah kwenda pale.
Quran inasema Waarabu walikuwa na mitume wawili. Na wote hawakuwah kufuata Imani ya Ishmael. Mtume wa 4 ambaye ni Mohamed ndio akafuata .
Baada ya miaka 4000 hivi.

Tena kwa wahyi ambao hakuna mtu aliwah kumuona au kumsikia Jibri anaongea na mtume. Hata mke wake na wake zake wote. Hakuna .
Hamna ushahidi wa kuona au kusikia kuhusu wahyi.

Kasome tena Quran.
Anyway tusiharibu uzi wa watu.
 
MKUU WA FASIHI YA KIARABU NA BUSARA YA MWANGAZA TAHA HUSSEIN… WASIFU WA AKILI ILIYOYAONA MWANGAZA​

Misalaba MediaJanuary 18, 20260

Imeandikwa na: Mervat Sakr

Nukuu:

Taha Hussein hakuwa jina la kupita tu katika historia ya utamaduni wa Kiarabu, bali alikuwa tukio endelevu la fikra, akili iliyomwasi ukimya, na mtu aliyeunda upya uhusiano kati ya binadamu, maarifa na urithi wa kitamaduni. Amezaliwa Kusini mwa Misri mnamo mwaka 1889 katika mazingira duni na yenye upeo mdogo, kisha akapoteza uwezo wa kuona akiwa bado mtoto. Hata hivyo, upofu ambao kwa wengine ungeweza kuwa kifungo cha hatima, kwake uligeuka kuwa msukumo wa kipekee wa kuunda maono mapana zaidi; akili ikawa jicho lake la kwanza, na swali likawa njia yake ya kufikia ukweli.

Elimu yake ilianza katika kuttab, ambako alihifadhi Qur’ani Tukufu na kuupokea lugha ya Kiarabu katika umbo lake safi la mwanzo. Baadaye alijiunga na Chuo cha Al-Azhar, lakini haraka alihisi msongamano wa mbinu za elimu zilizotegemea kuhifadhi na kukariri, pamoja na kufunga mlango wa shaka na kuuliza. Pamoja na kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kisasa cha Misri, Taha Hussein alipata anga tofauti, iliyoruhusu utafiti na mjadala, akafunguka kwa falsafa, historia na fasihi, na hapo mradi wake wa ukosoaji ukaanza kujengeka kwa utulivu na uthabiti.

Dalili za mradi huu zilionekana mapema katika tafiti zake kuhusu urithi wa Kiarabu, alipotoa vitabu kama “Katika Ushairi wa Kijahili” na “Katika Fasihi ya Kijahili”, kisha akapanua maono yake ya uhakiki kupitia “Hadithi ya Jumatano”, “Kutoka katika Hadithi ya Ushairi na Nathari”, “Sura katika Fasihi na Ukosoaji”, “Mabishano na Ukosoaji” na “Ukosoaji na Mageuzi”. Lengo lake halikuwa kuubomoa urithi wala kuudharau, bali kuuweka huru kutoka katika usomaji wa utakaso usiohoji, na kuuweka chini ya mbinu ya kisayansi. Ujasiri huu ulimletea mawimbi ya mashambulizi, marufuku na kesi za kisheria, lakini alibaki thabiti katika imani yake kwamba mwamko wa akili hauwezi kusimama bila uhuru wa kufikiri.

Mazungumzo yake na urithi yalikuwa mazungumzo hai na wahusika wake, si maandiko kimya. Aliandika kuhusu Abu Al-Alaa Al-Ma’arri katika “Kuhuisha Kumbukumbu ya Abu Al-Alaa”, “Pamoja na Abu Al-Alaa Kifungoni Mwake” na “Sauti ya Abu Al-Alaa”. Pia alimjadili Al-Mutanabbi katika “Pamoja na Al-Mutanabbi”, na akasimama kwa tajriba za washairi katika “Hafidh na Shawqi”, huku akipanua upeo wa usomaji katika “Viongozi wa Fikra”, akitoa mifano ya uhakiki inayochanganya kuvutiwa na uchambuzi, bila kutukuza wala kubomoa.

Nchini Ufaransa, alikokamilisha masomo yake ya juu, Taha Hussein alifahamiana na mbinu za fikra za Magharibi, na maono yake kuhusu utamaduni kama kitendo cha pamoja cha kibinadamu yakapanuka. Huko ndiko mawazo yake kuhusu elimu, utambulisho na ufunguzi wa ustaarabu yalipopevuka, mawazo yaliyojitokeza wazi katika vitabu vyake vya fikra kama “Mustakabali wa Utamaduni Misri”, “Kioo cha Dhamiri ya Kisasa”, “Kioo cha Uislamu”, “Kuiga na Kuhuisha”, “Kati ya Kati”, “Maoni Huru” na “Maisha na Harakati za Kifikra nchini Uingereza”. Katika kazi hizi, alitetea dhana ya ufunguzi wenye ufahamu, akiona kuwa utambulisho haulindwi kwa kujifungia, bali kwa mazungumzo ya kina na ya kiuhakiki na dunia.

Upande wa kibinadamu wa tajriba yake ulijitokeza kwa uzuri mkubwa katika kitabu chake maarufu “Al-Ayyam (Siku)”, ambacho hakikuwa wasifu wa kawaida, bali ushuhuda wa kina wa kibinadamu juu ya mapambano ya akili dhidi ya umaskini, ujinga na upofu, na simulizi la kizazi kizima kilichoamini kuwa elimu ndiyo njia pekee ya ukombozi. Sambamba na wasifu, aliandika riwaya na hadithi, akiacha kazi kama “Dua ya Korongo”, “Mti wa Taabu”, “Bustani ya Miiba”, “Upendo Uliopotea”, “Ahadi ya Kweli”, “Walioteswa Duniani”, “Ndoto za Shahrazad”, “Jumba Lililorogwa”, “Bustani ya Wanyama” na “Shule ya Ndoa”, ambako hisia ya kijamii ilichanganyika na mwelekeo wa kimaadili na kibinadamu.

Maslahi yake katika historia na fikra za kidini hayakutengana na mradi wake wa ukosoaji. Aliandika “Pembeni mwa Wasifu wa Mtume” na “Fitna Kuu” katika juzuu zake mbili: Uthman na Ali na Wanawe, akitoa usomaji wa kiakili wa matukio ya msingi katika historia ya Kiislamu, mbali na simulizi za kimapokeo na mihemko ya kimadhehebu.

Taha Hussein pia aliamini katika umoja wa utamaduni wa kibinadamu, akajifungua kwa tafsiri, na kuhamishia katika Kiarabu kazi za fasihi na fikra za dunia kama “Oedipus na Theseus”, “Andromaque”, “Zadig”, “Mfumo wa Waathene” na “Roho ya Elimu”. Pia aliandika “Kutoka Fasihi ya Tamthilia ya Kigiriki”, “Kutoka Fasihi ya Tamthilia ya Magharibi” na “Makala Teule kutoka Ushairi wa Tamthilia ya Kigiriki”, akisisitiza kuwa fasihi ya kibinadamu ni mto mmoja wenye vijito vingi. Aidha, alichangia kufufua urithi kwa kuhakiki “Kalila na Dimna”, akiunganisha kati ya jana na leo.

Taha Hussein alifariki dunia mnamo mwaka 1973, lakini aliacha nyuma urithi hai wa fikra na neno, unaotufundisha kwamba akili pekee ndiyo huona yale ambayo macho hayawezi, na kwamba nuru ya kweli hutoka katika fikra jasiri, si katika uoni wa macho

MKUU WA FASIHI YA KIARABU NA BUSARA YA MWANGAZA TAHA HUSSEIN… WASIFU WA AKILI ILIYOYAONA MWANGAZA​

Misalaba MediaJanuary 18, 20260

Imeandikwa na: Mervat Sakr

Nukuu:

Taha Hussein hakuwa jina la kupita tu katika historia ya utamaduni wa Kiarabu, bali alikuwa tukio endelevu la fikra, akili iliyomwasi ukimya, na mtu aliyeunda upya uhusiano kati ya binadamu, maarifa na urithi wa kitamaduni. Amezaliwa Kusini mwa Misri mnamo mwaka 1889 katika mazingira duni na yenye upeo mdogo, kisha akapoteza uwezo wa kuona akiwa bado mtoto. Hata hivyo, upofu ambao kwa wengine ungeweza kuwa kifungo cha hatima, kwake uligeuka kuwa msukumo wa kipekee wa kuunda maono mapana zaidi; akili ikawa jicho lake la kwanza, na swali likawa njia yake ya kufikia ukweli.

Elimu yake ilianza katika kuttab, ambako alihifadhi Qur’ani Tukufu na kuupokea lugha ya Kiarabu katika umbo lake safi la mwanzo. Baadaye alijiunga na Chuo cha Al-Azhar, lakini haraka alihisi msongamano wa mbinu za elimu zilizotegemea kuhifadhi na kukariri, pamoja na kufunga mlango wa shaka na kuuliza. Pamoja na kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kisasa cha Misri, Taha Hussein alipata anga tofauti, iliyoruhusu utafiti na mjadala, akafunguka kwa falsafa, historia na fasihi, na hapo mradi wake wa ukosoaji ukaanza kujengeka kwa utulivu na uthabiti.

Dalili za mradi huu zilionekana mapema katika tafiti zake kuhusu urithi wa Kiarabu, alipotoa vitabu kama “Katika Ushairi wa Kijahili” na “Katika Fasihi ya Kijahili”, kisha akapanua maono yake ya uhakiki kupitia “Hadithi ya Jumatano”, “Kutoka katika Hadithi ya Ushairi na Nathari”, “Sura katika Fasihi na Ukosoaji”, “Mabishano na Ukosoaji” na “Ukosoaji na Mageuzi”. Lengo lake halikuwa kuubomoa urithi wala kuudharau, bali kuuweka huru kutoka katika usomaji wa utakaso usiohoji, na kuuweka chini ya mbinu ya kisayansi. Ujasiri huu ulimletea mawimbi ya mashambulizi, marufuku na kesi za kisheria, lakini alibaki thabiti katika imani yake kwamba mwamko wa akili hauwezi kusimama bila uhuru wa kufikiri.

Mazungumzo yake na urithi yalikuwa mazungumzo hai na wahusika wake, si maandiko kimya. Aliandika kuhusu Abu Al-Alaa Al-Ma’arri katika “Kuhuisha Kumbukumbu ya Abu Al-Alaa”, “Pamoja na Abu Al-Alaa Kifungoni Mwake” na “Sauti ya Abu Al-Alaa”. Pia alimjadili Al-Mutanabbi katika “Pamoja na Al-Mutanabbi”, na akasimama kwa tajriba za washairi katika “Hafidh na Shawqi”, huku akipanua upeo wa usomaji katika “Viongozi wa Fikra”, akitoa mifano ya uhakiki inayochanganya kuvutiwa na uchambuzi, bila kutukuza wala kubomoa.

Nchini Ufaransa, alikokamilisha masomo yake ya juu, Taha Hussein alifahamiana na mbinu za fikra za Magharibi, na maono yake kuhusu utamaduni kama kitendo cha pamoja cha kibinadamu yakapanuka. Huko ndiko mawazo yake kuhusu elimu, utambulisho na ufunguzi wa ustaarabu yalipopevuka, mawazo yaliyojitokeza wazi katika vitabu vyake vya fikra kama “Mustakabali wa Utamaduni Misri”, “Kioo cha Dhamiri ya Kisasa”, “Kioo cha Uislamu”, “Kuiga na Kuhuisha”, “Kati ya Kati”, “Maoni Huru” na “Maisha na Harakati za Kifikra nchini Uingereza”. Katika kazi hizi, alitetea dhana ya ufunguzi wenye ufahamu, akiona kuwa utambulisho haulindwi kwa kujifungia, bali kwa mazungumzo ya kina na ya kiuhakiki na dunia.

Upande wa kibinadamu wa tajriba yake ulijitokeza kwa uzuri mkubwa katika kitabu chake maarufu “Al-Ayyam (Siku)”, ambacho hakikuwa wasifu wa kawaida, bali ushuhuda wa kina wa kibinadamu juu ya mapambano ya akili dhidi ya umaskini, ujinga na upofu, na simulizi la kizazi kizima kilichoamini kuwa elimu ndiyo njia pekee ya ukombozi. Sambamba na wasifu, aliandika riwaya na hadithi, akiacha kazi kama “Dua ya Korongo”, “Mti wa Taabu”, “Bustani ya Miiba”, “Upendo Uliopotea”, “Ahadi ya Kweli”, “Walioteswa Duniani”, “Ndoto za Shahrazad”, “Jumba Lililorogwa”, “Bustani ya Wanyama” na “Shule ya Ndoa”, ambako hisia ya kijamii ilichanganyika na mwelekeo wa kimaadili na kibinadamu.

Maslahi yake katika historia na fikra za kidini hayakutengana na mradi wake wa ukosoaji. Aliandika “Pembeni mwa Wasifu wa Mtume” na “Fitna Kuu” katika juzuu zake mbili: Uthman na Ali na Wanawe, akitoa usomaji wa kiakili wa matukio ya msingi katika historia ya Kiislamu, mbali na simulizi za kimapokeo na mihemko ya kimadhehebu.

Taha Hussein pia aliamini katika umoja wa utamaduni wa kibinadamu, akajifungua kwa tafsiri, na kuhamishia katika Kiarabu kazi za fasihi na fikra za dunia kama “Oedipus na Theseus”, “Andromaque”, “Zadig”, “Mfumo wa Waathene” na “Roho ya Elimu”. Pia aliandika “Kutoka Fasihi ya Tamthilia ya Kigiriki”, “Kutoka Fasihi ya Tamthilia ya Magharibi” na “Makala Teule kutoka Ushairi wa Tamthilia ya Kigiriki”, akisisitiza kuwa fasihi ya kibinadamu ni mto mmoja wenye vijito vingi. Aidha, alichangia kufufua urithi kwa kuhakiki “Kalila na Dimna”, akiunganisha kati ya jana na leo.

Taha Hussein alifariki dunia mnamo mwaka 1973, lakini aliacha nyuma urithi hai wa fikra na neno, unaotufundisha kwamba akili pekee ndiyo huona yale ambayo macho hayawezi, na kwamba nuru ya kweli hutoka katika fikra jasiri, si katika uoni wa macho
asante kwa kunipasia mpira kwenye goli tupu. Unamleta Taha Hussein kama utetezi wa dini, wakati yeye ndiye aliyewaambia kuwa ushairi na baadhi ya simulizi za Quran ni "Fabrications" (Zilimbuniwa)! 📉🚫

1. SHAKA NI JICHO LA AKILI: Taha Hussein alitumia mbinu ya Rene Descartes (Cartesian Doubt). Alisema: "Ili uujue ukweli, lazima uutilie shaka kila kitu ulichofundishwa tangu utotoni." Nyinyi hapa JF mkisikia shaka mnatetemeka kama kuku aliyenyeshewa mvua!

2. ALIKUWA ADUI WA AL-AZHAR: Taha Hussein alipigwa vita, akafukuzwa kazi, na kuitwa "Kafiri" na hao hao wenye dini kisa kitabu chake "Katika Ushairi wa Kijahili" ambapo alihoji uhalali wa baadhi ya hadithi za kale. Leo mnajifanya kumsifu wakati wenzenu walitaka kumchinja kifikra? Huu ni unafiki wa kiwango cha lami!

3. ELIMU BILA KUKARIRI: Taha Hussein alichukia "Kukalimani" (Rote learning) ya Al-Azhar. Aligundua kuwa kukariri vitabu vya kale bila kuhoji ni kutengeneza MAROBOTI ya dini. Ndio maana nchi za Kiarabu zilibaki nyuma mpaka walipoanza kutumia Science ya Magharibi aliyoipata Ufaransa.

Taha Hussein alikuwa kipofu aliyeona "Uongo" wa dini yenu kuliko ninyi mnaoona kwa macho lakini akili zenu zimepofushwa na hofu. Amefariki 1973 akituacha na ujumbe mmoja: "Akili ni huru, dini ni pingu." ⛓️🔓

Mkuu rudi kasome "Fi al-Shir al-Jahili" uone jinsi Taha alivyowavua nguo, usilete wasifu wa kumsifu mtu ambaye angekuwepo hapa JF angewaita MAFALA! I'M
OUT! 👋🔥💥💨
 
Back
Top Bottom