Kwanaza Naomba Nikupongeze MD wa Global Publishers.
Nimekua nikipata habari nyingi za kuelimisha, Kufurahisha na mengine mengi.
Naomba niseme Kuwa nimegundua at the moment you are biased politically!
Hizi heading mbili Leo zimenidhihirishia hilo. 1.Mjengwa: nilichokiona Mwembetogwa Iringa.
Hivi katika Blog ya mjengwa mumeona hilo ndio la muhimu kuliko mengine kuliweka kwenye mtandao wenu? 2.Anayedai kuporwa mke na Dr. Slaa anusurika kifo
Is this fair to Dr. Slaa or just humiliation? Is there no other language you can use?
Umesoma huo upuuzi uliondakwa na hao wapuuzi??
Ni wazi kwamba wanasema kwamba Dr. Slaa (au wapambe wake) wana mpamgo wa kumuua Mahimbo!
Katika hali ya minong'ono, mmoja wa mashuhuda hao aliyejitambulisha kwa jina moja la Alpha, tukio hilo lilidaiwa kuhusishwa na matatizo yanayomkuta Mahimbo huku wakifafanua kwamba inawezekana kukawa na njama za kishirikina au kimafia.
Nani kakwambia. Pole ! usije ukakimbia wewe!!!
Kwa taarifa fupi tu. ni kwamba Slaa atashinda But not kwa kishindo. Coz CCm na CUF wameungana.
poleni mafisadi. mwisho wenu umefika! Ukombozi wetu umekaribia! mnajaribu kumchafua Slaa mkitumia udini lakini. Hakuna Ukristo wala Uislamu kwa Slaa! Kanyaga Twende. waislamu wakristo wote haki sawa!!
Kumpa urais mtu anaye anguka-anguka hovyo ni upumbavu na upofu. Koran inasema wote wasio waislamu adhabu yao ki kifo kuanzia mtu wa kwanza mpaka wa mwisho.
Hayo yasikubabaishe kwa kuwa kwenye maandiko matakatifu tunaelemishwa yafuatayo:-
ISAIAH 54:17 No weapon raised against you shall prosper, and every tongue which rises against you, you shall condemn. This is the heritage of the servants of the LORD, and their rightness is from ME." Says the LORD.
Huyu mmiliki wa global publisher ni a stupid guy anayetumia magazeti yake kudhalilisha wakina dada. Mi siku zote namuona ni mpumbavu na huwa sisomi gazeti lolote kaandika yeye.
Ni baadaye tu niligundua kwa nini is a hopeless guy. "Yuko sisi m akishirikiana na majambazi wa nchi hii"
Gp md alienda ktk mchakato wa kura za maoni za ubunge - ccm , akashindwa.
Sasa anajipendekeza kwa lengo la kupewa makombo.. ukuuu wa wilaya etc. Bahati mbaya sana kwao mwaka huu ... hakuna ukuu wa wilaya wala like stupidiness, kwa sababu this time, wanakaa benchi . makamba ajiandae kwenda kugema pombe ya mnazi!