Global Firepower - 2014 World Military Strength Ranking

DUUhhh..yaani hawa jamaa ambao walipaki vifaru kushambulia kuta wakati terrorist walisha sepa long time wanashine,hii kweli kituko
 
DUUhhh..yaani hawa jamaa ambao walipaki vifaru kushambulia kuta wakati terrorist walisha sepa long time wanashine,hii kweli kituko

unamainisha that army caught carrying white bags from the mall?.
 

Ha ha ha kwa data zako hizi kuhusu Tanzania Pole sana
 
Naona umefanya kazi kubwa ya ku-Google hadi umeanza kuburuta Wikis. Sawa lets continue, but hope you read that Wiki statement that Tz is second after Kenya in terms of military equipment.

ha ha ha ha
 

watanzania mmejaa maneno.jeshi la Kenya liko vizuri kuliko letu.mnajipima kwa M23 vita vya ak47 vichakani!sasa hivi ni zama za sayansi na teknolojia vifaa ndio mpango mzima.
 
watanzania mmejaa maneno.jeshi la Kenya liko vizuri kuliko letu.mnajipima kwa M23 vita vya ak47 vichakani!sasa hivi ni zama za sayansi na teknolojia vifaa ndio mpango mzima.
na wale walijipima kwa alshabab wastegate hiyo technolojia na vifaa hatukuviona wakaishia kuuana wenyewe kwa wenyewe na kuiba
 
Sisi waswahili ni maneno tu afu wabishiii


Sent from my iPhone 6 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…