Am glad our Kenya is shining here, but to be fair, I think something is not right, why did they dismiss Tanzania and threw it to the lowest rank even below failed Somalia. Aha! kadoda11 and Geza Ulole will be here like wolves fighting this. Bora nisepe kabla hawajaja.These are the 2014 world rankings:-Global Firepower Military Ranks - 2014For Africa, these are the ranks:-African Countries Ranked by Military Strength
Mkenya bwana. unakubali DRC ni ya 12. somali 20. Tz ya 22. Kawaulize M23. what is JWTZ.
hv hapa wamefuata vigezo gani????...kwa kuangalia tu hz rankings naweza kuelewa dhumuni. la waliotayarisha...'KDF'... ni operation ipi wamefanya ikawa successful itakuwa labada wamebezi kwa wale wanaonunua Mitumba ya silaha kutoka westernz
Am glad our Kenya is shining here, but to be fair, I think something is not right, why did they dismiss Tanzania and threw it to the lowest rank even below failed Somalia. Aha! kadoda11 and Geza Ulole will be here like wolves fighting this. Bora nisepe kabla hawajaja.
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.hv hapa wamefuata vigezo gani????...kwa kuangalia tu hz rankings naweza kuelewa dhumuni. la waliotayarisha...'KDF'... ni operation ipi wamefanya ikawa successful itakuwa labada wamebezi kwa wale wanaonunua Mitumba ya silaha kutoka westernz
Obviously it ain't your list, it's a global ranking done GFP.Hey Mkuu,
These are not my creations, they are just there in the net. I only posted them here for purposes of debate. Indeed they are still fine tuning the list as they have said above so i expect the likes of TZ to do much better once this is done.
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.
Vifaa JWTZ : KDF
Tanks 30 : 186
Armored Vehicles 350 : 2000 - Hapa noma
Towered artillery 16 : 50
Rocket projectors 0 : 12
Total aircraft 12 : 134 - Hapa noma
Helicopters 2 : 66 - Hapa noma pia
Naval strength 12 : 19
Defense budget $220M : $595M - noma
Hamna bana, M23 hamkuwapiga nyinyi pekee yenyu, ila muungano wa SADC yaani the mighty South African, Jeshi la Congo na JWTZ.
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.
Vifaa JWTZ : KDF
Tanks 30 : 186
Armored Vehicles 350 : 2000 - Hapa noma
Towered artillery 16 : 50
Rocket projectors 0 : 12
Total aircraft 12 : 134 - Hapa noma
Helicopters 2 : 66 - Hapa noma pia
Naval strength 12 : 19
Defense budget $220M : $595M - noma
Nguvu za Kijeshi kidunia: DRC ya 87, Uganda ya 88, Zimbabwe ya 95, na Somalia ya 100, wakati Tanzania ya 106; mbona kama sielewi??? Wamehesabu kupigana kutumia pinde na mishale au??
Wacha Jazba kaka, sie wakenya hatujawafanyia jeuri JWTZ ila wazungu wamerusha takwimu zinazowadhalilisha, hatupo hapo. Na uskomee sana na la Westigate maana lile lilikua janga la ki-aina na halijawakuta hata nyinyi. Jamaa waliingia na kujifungia humo ndani na mateka.Kiukweli wale FFU wenye kofia nyekundu ni zaidi ya KDF Commandos waache kupiga kelele hapa sembuse wazee wa Ngerengere?