Global education link LMT

Global education link LMT

KISHUKO

Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Habari wana janvi.
kwa jina naitwa RICCO BAKARI ni marketing officer wa Global education link inayojihusisha na kuwasaidia wanafunzi kutimiza ndoto zao za kusoma Abroad kwa kuwataftia vyuo katika nchi ambayo mwanafunzi anaitaji kwenda kusoma kwa level ya DIPLOMA, DEGREE, MASTERS NA PHD. Unachotakiwa kufanya ni kunitumia jina lako kamili namba ya simu email addres kwa namba 0716269726. au waweza fika office zetu.. makao makuu dar es salaa viwanja vya sabasaba pia tuna matawi MWANZA, ARUSHA,MBEYA,DODOMA NA ZANZIBAR kwa wakaz wa Mwanza.. tupo seif plaza, Arusha tupoTank la maji na Mbeya tupo sokoine street city garden.. Tuna vyuo nchi kama CHINA, UK,USA, CANADA, INDIA, AUSTRIA, MALYSIA. Lengo ni kukurahisishia wew mwanafunzi unae itaji kusoma nje kuweza kupata chuo bora kwa haraka. asanten na karibunin sana... tembelea www.gel.co.tz au wasiliana kwa 0716269726 kwa maelezo zaid.



GLOBAL EDUCATION ..OUR SERVICE
Admission processing
Visa processing
passport processing
career counseling and guidance
Assistance on course selection and university
Airport pick up
air ticketing travei planing
KARIBU GLOBAL EDUCATION LINK WAKALA WA VYUO VIKUU VYA NJE
 
Mkuu kwa kukadiria kama mtu anataka kusoma kozi za IT kwa nchi kama china au china kwa ngazi ya degree kwa mwaka mmoja natakiwa niwe na kiasi gani kwa kila kitu?
 
Mass communication Canada degree mkuu
 
Mass communication Canada degree mkuu
mass communication nashauri usome china au india CANADA Ni kuanzia dola 14000 ...kwa india ni kuanzia dola 1500 na china NA CHINA ni dola 3000 kwa mwaka hio ni tuition fee budgeted for 1 year KARIBU.
 
mass communication nashauri usome china au india CANADA Ni kuanzia dola 14000 ...kwa india ni kuanzia dola 1500 na china NA CHINA ni dola 3000 kwa mwaka hio ni tuition fee budgeted for 1 year KARIBU.

Luxembourg wakuu, napenda kwenda kusoma
 
Je kuhusu Masters degree in Geophysics...nchi gani itakua makini na gharama nafuu.
 
mkuu nipe direction ya nch gan na gharama for masters in chemistry
 
Back
Top Bottom