Giza kila mahali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Giza kila mahali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mosquito, Jan 30, 2011.

 1. m

  mosquito Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa safarini kuja tukuyu,abiria akaniambia segerea wana siku ya pili hawana umeme,nimeingia hapa tukuyu ni giza totoro! Bahati nzuri nna simu ya kitochi.Nadhani nchi imefilisiwa,njiani wananchi wengi wanaishi nyumba za hali ya chini na sidhani kama wanajua kinachoendelea.nawahabarisha
   
 2. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  balaa
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  yaani mkuu huku segerea ni vilio tu, maadam wangejua ni jinsi gani wanavyo watia watu loss yaani acha tu, saloon, mabucha, internet cafe, stationeries,maduka mbali mbali yaani kila kona uzalishaji ulisimama na hawa watu wanatakiwa kurejesha mikopo ya biashara walizokopa. taabu tupu
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi wale Waarabu wanakuaje na ujasiri kuliko sisi Waafrika?
   
 5. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Poleni sana
   
 6. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Cause of Segera problem: 33kV feeders namely Segerea and UB-0 feeders from 28/01/2011 to 30/01/2011.
  *
  The feeders were looped after the breaker for Segerea feeder failed to operate automatic as well as manualy.
  *
  Therefore, the*main cause of this breakdown was failure of 33kV breaker for Segerea feeder which is now out of the circuit, broken conductors, jumpers and disc insulators.
  *
  Power was restored after intensive line patrol, replacement of broken disc insulators, reconnection of broken jumpers and HT conductors, tree cutting and looping of two feeders inorder to use breaker for UB-
  0

  Power is restored and I hope the area will be exempted from loadshedding for 3 days

  Mhandisi, Mifumo na njia kuu za umeme
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Ni balaa kwa kweli, na hili tatizo hakuna hata dalili kuwa litatatuliwa hivi karibuni ili kupata suluhu ya kudumu!
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tunahitaji kujifunza ujasiri wa waarabu!!!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hao waliochukua mikopo wakishindwa kulipa kutokana na uzembe wa serikali ndio watapata nguvu ya kuingia mtaani!!
   
 10. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sisi waafrika weusi tuko waoga sana. Hatuna ujasiri kama waarabu na wazungu. Ndo maana serikali zetu zinatutesa mpaka matopeni na hatuwezi kugangamala. Tu waoga sana wa risasi.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Wale wana ujasiri muda mrefu sisi uoga umetujaa kama kunguru..
   
 12. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wale jamaa moyo wao sidhani kama tunautaka wote kama ulivyo...Nusu ya moyo wao tu kwetu ni ukombozi tosha...Wale Jamaa wanapigana vita ambayo wana uhakika kuwa hawatarudi wala kuonana na familia zao.....so I think we need half of that to get out of this Shit....
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, huwezi fananisha mswahili na mwaarabu, mwaarabu ni mtu jasiri sana, akaamua kitu huwezi kumzuia... Wako radhi kufa kwajili ya familia zao.
   
Loading...