Kama akikuambia hayo kuna mawili, au unamghasi tu, hana hisia na wewe kimapenzi hata kidogo, anaona unampotezea muda. Hapo chapa lapa. Au inawezekana anataka muda ili amalizie some of her issues. All in all anakuwa hajakukubali in first sight anahitaji jicho la pili ili aamue. Lugha ya mwili huongea sana hapa!