Nyie chadema acheni kujiamini sana, tuombe tu Mungu tunachokihitaji pia kiwe ni mapenzi yake. Kumbukeni Busanda, Kiteto na Biharamulo kila mtu hapa aliamini chadema will take the lead lakini wapi haikuwa hivyo.
Mchuano wa JK na Slaa si kubeza yeyote kati yao anaweza kuwa mshindi.
Mungu wa mbinguni atuhurumie. TBC walionesha mfumko wa bei za bidhaa muhimu za chakula na mafuta kati ya Mwinyi kutoka madarakani na miaka 10 ya Mkapa Vs miaka mitano ya Kikwete. Jamani it is terrible.
Kati ya muda wa Mwinyi na Mkapa mfumko ulikuwa 10 - 25%, miaka 5 ya Kikwete mfumko ni zaidi 150% hii ni hatari sana.
kama wanavyosema malaria haikubaliki sasa tuseme kikwete na CCM yake hawakubaliki.