Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Hilo ni moja ya magereza hatari kabisa duniani.
Lilijengwa likiwa na uwezo wa kuweka wafungwa 400 tu.
Kwa Sababu ya ukatili, gereza hilo kwa sasa linalazimishwa kuhifadhi wafungwa 6,000.
Wafungwa wengi ktk gereza hilo ni watuhumiwa wa mauaji ya kimbari.
Wanateswa kikatili mchana na usiku, na wengi wao ni wahutu.
Kinyesi kimetapakazwa kila kona ya chumba cha gereza kama njia ya kuwatesa kisaikoloji wafungwa hao.
Hakuna mfungwa anayeruhusiwa Kulala.
Wafungwa wote huwa wananing'inizwa kwenye ukutani au juu ya vitanda kwa mateso hadi wanakufa.
Ukipelekwa ndani ya gereza hilo huwezi kutoka hai.
Ni kuzimu iliyopo duniani.
Wafungwa wakiwa ktk mateso ndani ya gereza la Gitarama nchini Rwanda.