'Gita' nani mwenye huu wimbo?

'Gita' nani mwenye huu wimbo?

Mi natafuta wimbo wa Neli wameimba Kmondo sound band msaada tafadhali
 
Habari zenu wakubwa, kuna nyimbo ya kitambo kidogo nimeitafuta bila mafanikio mwenye nayo hebu share nami.
************************************************
Ngoma imepatikana hiyo wazee

Jina la nyimbo : Gita
Msanii : Nani.
You made my day. Thank you nmetafuta kitambo huu
 
Back
Top Bottom