'Gita' nani mwenye huu wimbo?

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
8,159
7,156
Habari zenu wakubwa, kuna nyimbo ya kitambo kidogo nimeitafuta bila mafanikio mwenye nayo hebu share nami.
************************************************
Ngoma imepatikana hiyo wazee

Jina la nyimbo : Gita
Msanii : Nani.
 
Attachments

  • NANI - GITA.mp3
    5 MB · Views: 58
Habari zenu wakubwa, kuna nyimbo ya kitambo kidogo nimeitafuta bila mafanikio mwenye nayo hebu share nami.

Jina la nyimbo : Gita
Msanii : Nani.
Ujanja wangu wote hapo nimesanda ndugu ukipata tushtuane asee
 
One hit wonder huyo jamaa. Wimbo mmoja mzuri bàsi akapotea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom