Habari zenu wana intelijensia,,Naomba msaada wa maelezo kuhusu short course ya GIS hapa Dar na fursa zake katika soko la Ajira mana nahitaji kusoma short course ya hii kitu,nina shahada ya Uongozi wa Jamii
Natanguliza shukrani.
Ushauri wangu nenda kasome masters ya GIS na Remote Sensing nje ya nchi, ukimaliza utakuwa competent na Creative, lakin ukisoma hyo short coz, mzee utamaliza uko kama ulivo zaid ya kufanya vijikaz vya mapping, wahi sasa coz Tanzania bado hakuna wataalamu wa GIS na Remote Sensing.

Fungukeni wadau
shukrani mkuuIpo hapa ARU kama mdau alivyokwambia hapo Juu,mimi binafsi mwaka huu ndo namalizia Degree ya hiyo kitu hapahapa Ardhi,tembelea hapa
http://www.aru.ac.tz/images/documents/pdf/adverts/GIS Course 18th November 2013.pdf
Karibu!