Hapa nachanganyikwa sasa wengine wanasema mwanume pesa sura na kibamia utavumiliwa,na wewe tena unasema mwanume shughuli kibamia na pesa utachapiwa mmmh! nimeshindwa nichukue lipi ili niwe mwanaume wa ukweli kwa mwanamke

Eti eeee sasa kwa nini wanawake ambao waume zao au wapenzi wao wenye pesa na wanapata kila kitu still wanakuwa na mtu mwingine pembeni halafu huyo ndo anazitafuna hizo pesa what is so special why asitulie pale kwenye pesa au anakuwa hanogewi?

Ndo maana nikasema nachanganyikiwa hapa what is your priority kuwa na mume mwenye pesa au mume ataweza kukuridhisha,maana kuna mwingine kasema pesa ndo mpango mengine atavumilia lakini mwingine akaenda tofauti na kusema kufikishwa kwanza kama ni ni pesa hata yeye anaweza kuzitafuta kwa hizo scenario wewe uko upande gani?