Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
shmd65 kweli sura hii itaweza kubalika huko insta..?
Ndo maana natafuta mrembo ili angalau wanangu wawe prezentabo!
mmmhh . . . mmmh!!!!
Wizi wa macho macho kabisa huu!
shmd65 kweli sura hii itaweza kubalika huko insta..?
Ndo maana natafuta mrembo ili angalau wanangu wawe prezentabo!
mmmhh . . . mmmh!!!!
Wizi wa macho macho kabisa huu!
Hahaha! Ati topetope... teh! Umenikumbusha hizo enzi nakula topetope mpaka mtu haoni mdomo uko wapi!
Kumbe naiba tayari Ave?
Nikurushie japo kapicha uone ninavotisha?
What a man can do a woman can do!!
Kwani hata nikikubali urushe . . . utarusha wewe?
heheh
Nairusha live kwenye hili lisredi.. wala si huko faragha, we sema tu mtu wangu!
nitake radhi kabla hapajachimbika hapa ndani na pale exim tower :A S 39::A S 39::frusty:kwanini unanipakazia kwa makusudi ohoooooooo:banplease:kabla sijaleta balaa hapa.Keshawekwa kimada na mwanasheria mkongwe na maarufu sana maeneo ya posta pale...hawez ruhusiwa tena.
Ka vp tujifunze wote
nitake radhi kabla hapajachimbika hapa ndani na pale exim tower :A S 39::A S 39::frusty:kwanini unanipakazia kwa makusudi ohoooooooo:banplease:kabla sijaleta balaa hapa.
nitake radhi kabla hapajachimbika hapa ndani na pale exim tower :A S 39::A S 39::frusty:kwanini unanipakazia kwa makusudi ohoooooooo:banplease:kabla sijaleta balaa hapa.
mkuu nakuunga mkono, wanawake wa hivyo ni wahuni tu, hawapimikimtoto wa kike usiku wa manane uko bar??
unakuta kundi tu la madada wametoka wenyewe
Baasi
kuna tabaka la wasichana hapa mjini wengi wapo in their 20s,wanafikiri maisha ni kufanya starehe
mtoto wa kike unakesha baa, getting wasted kama wanaume
mtoto wa kike vijiwe vyote vya sheesha unavijua
Mbaya zaidi mtoto wa kike una sleep around tu na kila dume kama tunavyofanya wanaume
khaa eti ndio umjini au nini
ukijashtuka uko in early 30s unataka kuolewa nani atakuona gume gume na reputation yako
huko instagram tunawachora tuu mnavyojianika
mbaya zaidi hii syndrome imeanza kuwa epidemic kwa wanawake wasomii
tunao maofisini,
wanaume wengi they are not complaining including mimi kidole sabab tunabenefit na easy sex, ung'ang'anizi unapungua etc
But one thing for sure we'll have fun but i will never take u to my mama
take it slow starehe fanya but kwa kiwango cha mwanamke
Mkuu!!watu na biashara zao kaka, huo ndio muda wa biashara!!Mbona we pale kwake yule Mangi muuza duku ikifika night anafunga, hii ni kwasabab akiendelea usiku wateja hakuna watu wamelala, sa kuna biashara zingine huanza night pia