kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,877
- Thread starter
- #21
kidole007 zama zile zilishapita sasa tuko zama hizi na zama zinazokuja sijui zitakuwaje na hakuna zama itayokopy zama ingine, kila zama itaona zama iliyopita ilikuwa imepitwa na wakati. We hakikisha mkeo hafanyi usiyotaka, huwezi mzuia dada yako maana anapendwa na mwanaume mwingine. Pia hakikisha binti yako haingii kwenye hayo unayoyaona maovu na kijana wako asiwe chachu ya kutake advantage ya waschana wasiojua kusema hapana. Play ur role and u'll see changes from ur generation onwards.
Change ni mimi na wewe na si kulalama na kukaa kimya, action is needed.
zipite zama elfu wanawake watabaki wanawake
changes zipi unaongelea ??
action zipi nianzae kumkatataza mtu mzima kuishi maisha yake?
Wanawake ndo wanalalama eti wanachezewa na hawaolewi
nani ataoa mwanamke anaye jiachia namna hyo
umesema some men are taking advantage of girls who cant say NO
sasa unataka mimi niwasemee No.
Last edited by a moderator: