Girls with six packs

Duu..huyo ana misuli kama dume..hapo kaka jambazi akivamia night home,kidume ndo utaweza uonekane mwanamke

Wao wanaenjoy sana
 

Attachments

  • 1425534394319.jpg
    30.5 KB · Views: 133
Janjaweed kaka ndo ugonjwa wako huo?

Mkubwa... mie mnyonge kweli kwa akina dada, na napenda the whole rainbow...
napenda wenye firm bodies
wenye usafiri
wenye sura za upole
wenye personalities za ukakamavu
wenye zile jeans handles aka vipisto
wenye six pack ndio kabisa
wenye short hair
walio natural... no sugar added

wachache wana vyote but two or three complete the whole spectrum... ndio maan naishi na wake wanne, ili kukamilisha ndoto zangu
 

Mkuu njia yako nimeikubali..umeamua uchukue wake wanne ili vigezo/sifa zako zitimie..wee mkarii hahahahhaha!!!
 
kabanga vipi kaka..wanakidhi vigezo??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu njia yako nimeikubali..umeamua uchukue wake wanne ili vigezo/sifa zako zitimie..wee mkarii hahahahhaha!!!

sio wanne mkuu, nina mboga mbili tu na zimekamilisha 85% ya spectrum, halafu mboga moja ya msimu ndio inakamilisha mia

Nne nyingi sana - na umri ushaenda, tumvi tumeshaanza kutoka
 
duh nitafutieni huyu haraka.....watu wanafaidiiiiii:A S-frusty2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…