Kama hauna mazoezi huyo atakutoa nishai kaka..wana pumzi ndefu sana
Hahaha!!!huyu akuvutii wala kukushawishi??
kuna wengine wanapiga squats kutengeneza takoo, hawa wanavutia kidgo. Ila wengine ni wale Lesbians wanapenda onekana kama wanaume ili wapate girls wenzao