Girls never loose such guy with these qualities!

Girls never loose such guy with these qualities!

hee! iv kuna mtu anaitwa undertaker humu hee? lol l meant yule wa mieleka, that is my future husnd

hukujua mme wa mtu huyo asee usije sababisha nichape mtu konde....sasa nimegundua huna natangaza nia
 
heeeh Yes u said BOYS not MEN. A real man never cries. What a sweet dream u have. Kabushokeee?
 
hilo rahis ntakuja na maajabu hadi ujute kwa nini sijajuana na wewe siku nyingi

haya wajameni, nina ucngizi sana, ucku mwema, ila usisahau kutuma mahali kwenye tigopesa ili tuwaishe mambo c unajua, chelewa chelewa .......
 
kama ni hisia big up mi nilijua sio hilo.....ila chunga hisia zikizidi unaeza ukajikuta upo gerezani..watu wengine ukiwalilia tu wanaona mteremko

Naweza nikamuonea mtu huruma na nikajali hisia zake pia . . . . ila maamuzi yanaweza kutofautuiana na huruma yangu!
 
Hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo, ninyi boys wa JF kafanyeni practical bila hela mkawa mnalia lia hovyo muone kama mtapendwa...!
 
Nilidhani unaongelea 'A man' kumbe ni 'a boy' kunatofauti kubwa kati ya hao watu wawili...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom