Umri huo wapo skuli tena wanaanza necta mwezi ujao....labda usubiri wamalize!!!
natafuta rafiki wa kike ambaye tuje tuwe wanandoa,napatikana mwanza,ni muajiriwa serikalini na cjawahi kuoa wala sina mtoto
sifa za ninae mtafuta
-age 18-21
-maji ya kunde
-mrefu
-mnene kidogo
-elimu 4rm 4 >>>
mawasiliano kbraama78@gmail.com
au ni pm.
akhsante saaana wana Jf
hahaha...!
Tuwekee LINYAGO Lako
Humu JF ili Tukuthaminishe Kwanza Isije Ikawa Unatafuta Mke Wakati Sura
Lako Halina Tofauti Na Kona Za Milima Ya Senkeke!
Tuwekee LINYAGO Lako Humu JF ili Tukuthaminishe Kwanza Isije Ikawa Unatafuta Mke Wakati Sura Lako Halina Tofauti Na Kona Za Milima Ya Senkeke!