GIRLFRIEND

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
647a5a17c0e72348cdbfc1752dfa1ae3.jpg
 
Ya kale ni dhahabu ila kwa TID sijui tuite ya kale ni mafuvu au??
 
Katika Filamu zetu hii ni moja ya Filamu ambayo sitoweza kuichoka.

Hii ni mojawapo
 
Napenda pale wako Barbershop alipokuwa akipiga deiwaka Jay Moe kisha goma la Girlfriend linarushwa Redioni.

Jay Moe kaacha kunyoa kisha akaanza kuruka ruka na mayowe juu.

Hajaamini kusikia Goma la T.I.D la kuitwa Girlfriend likirushwa hewani.

Ni moja ya Filamu za mwanzo za Kibongo.

Kwa kweli hii Filamu ilibamba sana
 
Kuna vipande vingi navipenda kwenye hii Filamu.

Bila kusahau vipande ndani ya Bills.

Huku goma la Sista P likiwa linasindikiza.

Wanachonga sana juu yako... "Achana nao"

Wanataka umkosee Mungu wako... "Achana nao"

Jamani.

Ntalia mie, nasema hivi mie HARUFU ntalia mie
 
Nimeshindwa kujizuia, naanza kulia.

Hiiiiiiii, hiiiiiiiiii, ihihihiiiiiiiii, uuuhhhhhh, huuuuuuuuuu.

Nalia mwenzenu.

Mama nakufa weeeeeeee.

Hoooh hoooooh, ihihihhhhhhh, hiiiiiiiiiiiiii.

Na chafya juu,

Chaaaaaaaa, Chiiiiiiiiiiiiiii.

Ucheeeeeeee, Uchiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom