Girlfriend wangu wa zamani simuelewi

Girlfriend wangu wa zamani simuelewi

Usimkatishe tamaa ila siku ingine akikupigia Simu mwambie hujanda kazini unaumwa sana kisha atajisogeza kwenye swali hili ..unaumwa nn? Mjibu Kwa swali kwani hujui? Then mwambie we ni mwathirika mwaka wa tatu Sasa so sometimes huwa unazidiwa sana ila umeishaikubali hiyo hali so inakusaidia kuishi Kwa matumaoni...akirndelea zaidi ya hapo Hilo jini kaka delete kabisa

ukimwambia una ngoma ATAKUTANGAZA chezeya vuvuzela
 
Hivi, visa vingine mnaandika tu kuchangamsha jukwaa na kupoteza mda au ni kweli kabisa mtu anaomba ushauri serious??

Nami ngoja niombe ushauri hapa:
Jamani wana MMU wapendwa, mimi nimekula sana leo na ninahisi tumbo limevurugika, sasa hivi nimebanwa na mavi ambayo nahisi yatakua na mharo.
Niko kwenye kikao hapa ila naomba mnishauri. Je niende chooni au nijinyee hapa hapa tu? Maana naona kama nikijinyea hapa itakua aibu ila nasikia uvivu kwenda chooni.
Asante.

Du umetisha sasa hapo itamshauri vip maana kila kitu kiko wazi labda uwe mburula.Hapa watakuja hakina mzabzab watamwambia Agegede
 
Last edited by a moderator:
Wewe mtoa mada umeshajivua uanaume tayari....na wanaume wenzio tunakushangaa......yaani unashindwa kulifanyia maamuzi jambo simple kama hili...mpaka unakuja kulialia huku tena mbele ya wanawake......ACT LIKE A MAN....
 
Hongera mkuu kwa kufanya uamuzi wa kijasiri wa kushusha mzigo hadharani hii inatokea mara chache sana kwa watu majasiri kama ww...
Back 2 the topic toka nilipoachana na huyo ex wangu sijawahi kukutana wala kumgegeda. Tatizo lililopo ni yeye kunitafuta tena baada ya kipindi cha miaka 4 bila mawasiliano yoyote, na isitoshe ameshaolewa na ana mtoto sasa kinachonishangaza anahitaji nini kutoka kwangu?
Unaweza kuamini nilikua katika exactly your situation mpaka juzi tu mwezi wa 8? Mwanamke nimechunia miaka 3 mfululizo ila bado alikua anatuma msg hadi mwezi wa 8 na ana watoto 2. Hehehe! Women are from Venus my friend, hata utafakari vipi huwezi pata jawabu. Wewe ni kuamua kiume na ku move on.
 
Habari wana jamvi wa MMU.

Ni takribani miaka 4 kamili iliyopita nilipovunja uhusiano na aliyekuwa girlfriend wangu na kukatisha mawasiliano nae. Sababu ya mimi kubrake up nae ni alikuwa si mwaminifu so kuna ushahidi niliupata ambao ndo niliutumia kusitisha mahusiano nae.

Mwaka juzi nikapata habari kutoka kwa ndugu yake wa karibu kuwa Ex wangu amepata mchumba na anaolewa, na kweli akaolewa. Kwa upande wangu nikafarijika kuwa amepata mume na sasa atatulia.

Sasa last week nikiwa ofisini nikapokea simu ngeni kutoka kwa mwanamke niseyemfahamu alipojitambulisha alikuwa ni yule ex wangu akasema ametafuta contact zangu na amezipata kwa ndugu yangu wa karibu na sababu ya yeye kunipigia ni amenimiss na ana wish siku moja aje dar anione anisalimie.

Sasa wana jamvi mimi sitaki kurudisha ukaribu na huyu binti na isitoshe ni mke wa mtu na sitopenda kuwa na ukaribu nae but naona amezidisha kunipigia simu mara kwa mara kunijulia hali but sitaki kumfikiria vibaya lakini nimepata mashaka huu ukaribu anaoutengeneza sio mzuri kwa mustakabali wa ndoa yake.

Naombeni ushauri niendelee kuwasiliana nae tuu nione nia yake ni nini au nimpotezee.
A real man would say No, .....and mean it.
 
Unaweza kuamini nilikua katika exactly your situation mpaka juzi tu mwezi wa 8? Mwanamke nimechunia miaka 3 mfululizo ila bado alikua anatuma msg hadi mwezi wa 8 na ana watoto 2. Hehehe! Women are from Venus my friend, hata utafakari vipi huwezi pata jawabu. Wewe ni kuamua kiume na ku move on.
heheh very funny.... si ungejikaza kiume mkuu ule mgegedo afu una move on!!:glasses-nerdy:
 
Wewe mtoa mada umeshajivua uanaume tayari....na wanaume wenzio tunakushangaa......yaani unashindwa kulifanyia maamuzi jambo simple kama hili...mpaka unakuja kulialia huku tena mbele ya wanawake......ACT LIKE A MAN....

and think like a lady
 
Hivi, visa vingine mnaandika tu kuchangamsha jukwaa na kupoteza mda au ni kweli kabisa mtu anaomba ushauri serious??

Nami ngoja niombe ushauri hapa:
Jamani wana MMU wapendwa, mimi nimekula sana leo na ninahisi tumbo limevurugika, sasa hivi nimebanwa na mavi ambayo nahisi yatakua na mharo.
Niko kwenye kikao hapa ila naomba mnishauri. Je niende chooni au nijinyee hapa hapa tu? Maana naona kama nikijinyea hapa itakua aibu ila nasikia uvivu kwenda chooni.
Asante.

Loh!!! Jamani kuna watu mna visa humu ila nashukuru nimeongeza siku mimecheka sana
 
Achane aye muogope kama ukoma, ni mke wa mtu huyo, fikiria ungekuwa wewe ndo mwanaume wake. Sababu iliyokufanye umwache bado iko palepale kuwa hakuwa mwaminifu kwako na sasa si mwaminifu kwa mumuwe na huenda kuna mwingine tena. Kumbuka kuwa wewe si mtu wa kwanza kutakwa na ex, kwahiyo ni jambo la kawaida, zote yametukuta na tukasonga mbele tenakwa sisi wengine hakukuwa na sababu kama yako ya kuachana bali ilitokea tu lakini hatutizami nyuma. ACHANANA NAYE MWESHIMU MWANAUME MWENZAKO NA MUOGPE MUNGU WAKO PIA KAMA UNAAMINI KUWEPO KWAKE.
 
Back
Top Bottom