Hivi, visa vingine mnaandika tu kuchangamsha jukwaa na kupoteza mda au ni kweli kabisa mtu anaomba ushauri serious??
Nami ngoja niombe ushauri hapa:
Jamani wana MMU wapendwa, mimi nimekula sana leo na ninahisi tumbo limevurugika, sasa hivi nimebanwa na mavi ambayo nahisi yatakua na mharo.
Niko kwenye kikao hapa ila naomba mnishauri. Je niende chooni au nijinyee hapa hapa tu? Maana naona kama nikijinyea hapa itakua aibu ila nasikia uvivu kwenda chooni.
Asante.
Kwa kweli loykeys nilipata tabu sana kujibana wakati nikisubiria ushauri wa GreatThinkers kutoka humu, na wala hawakuniangusha. Japo moyo wangu na akili yangu havikutaka nijinyee lakini nikasema, hapana JF ni jibu la KILA KITU nitaambiwa chakufanya tu!! Na kweli vichwa kama MankaM , Dr.Chichi wakaniambia chakufanya ukizingatia pia vyoo kweli ni vichafu na pale nilipokaa na wenzangu palikua pasafi, na mimi napenda usafi!tupe mrejesho mkuu ilikuwaje? nafikiri kikao kilimalizika salama Nyamgluu
That's why nikaomba ushauri, nashukuru kwa mchango wako mamaafacebook
Shukrani kiongozi...umesema vyema!Dont let her toy with your emotions dude. She used you before, she will use you again. Tramps like that do not change their ways. Mbona wanawake wako wengi sana mjini hapa? Why waste your time on piece of azz? I just don't get it...
Hivi, visa vingine mnaandika tu kuchangamsha jukwaa na kupoteza mda au ni kweli kabisa mtu anaomba ushauri serious??
Nami ngoja niombe ushauri hapa:
Jamani wana MMU wapendwa, mimi nimekula sana leo na ninahisi tumbo limevurugika, sasa hivi nimebanwa na mavi ambayo nahisi yatakua na mharo.
Niko kwenye kikao hapa ila naomba mnishauri. Je niende chooni au nijinyee hapa hapa tu? Maana naona kama nikijinyea hapa itakua aibu ila nasikia uvivu kwenda chooni.
Asante.
Acha tamthilia wewe! Mdomo toka lini ukaumba? kwa hiyo nikisema utakuwa mbwa ni kweli utakuwa?da hii kali asee hivi unajua mdomo unaumba?
Hivi, visa vingine mnaandika tu kuchangamsha jukwaa na kupoteza mda au ni kweli kabisa mtu anaomba ushauri serious??
Nami ngoja niombe ushauri hapa:
Jamani wana MMU wapendwa, mimi nimekula sana leo na ninahisi tumbo limevurugika, sasa hivi nimebanwa na mavi ambayo nahisi yatakua na mharo.
Niko kwenye kikao hapa ila naomba mnishauri. Je niende chooni au nijinyee hapa hapa tu? Maana naona kama nikijinyea hapa itakua aibu ila nasikia uvivu kwenda chooni.
Asante.
Hongera mkuu kwa kufanya uamuzi wa kijasiri wa kushusha mzigo hadharani hii inatokea mara chache sana kwa watu majasiri kama ww...Kwa kweli loykeys nilipata tabu sana kujibana wakati nikisubiria ushauri wa GreatThinkers kutoka humu, na wala hawakuniangusha. Japo moyo wangu na akili yangu havikutaka nijinyee lakini nikasema, hapana JF ni jibu la KILA KITU nitaambiwa chakufanya tu!! Na kweli vichwa kama MankaM , Dr.Chichi wakaniambia chakufanya ukizingatia pia vyoo kweli ni vichafu na pale nilipokaa na wenzangu palikua pasafi, na mimi napenda usafi!
Nikajiachia mwanawane, pale paleee!! Aaaaaah, nilijiskia vyema na napenda kukujulisha kuwa, tofauti na siku zingine zote kikao chetu kiliisha haraka sana kabla ya muda wake. Nafikiri wengi walifurahia hilo japo sijui kwanini sura zao zilionyeha kukerwa na kitu.
Sasa sielewi kwanini leo kazini watu wananiangalia sana. Mimi sipendi, naomba ushauri tena, je nibaki na hizi hizi nguo za janahalafu niache kazi nikae nyumbani au nizibadili halafu niendelee kuja kazini wakati naangaliwa hivi?
Nishauri tafadhali.
Sijui wewe MWENZANGU uliamua kulala na huyo aliekua malaya alieku cheat na sasa mke wa mtu au uliamua kuacha na kuwa na mtu mwingine ambae hajakucheat na anaweza kuja kua mke wako na wewe?
...Naombeni ushauri niendelee kuwasiliana nae tuu nione nia yake ni nini au nimpotezee.