mama beauty
Member
- Aug 30, 2014
- 22
- 4
Dah miaka sita hujamteka moyo tu
Hili nalo linahitaji foo figa kupata jibu!!!!!
Dah miaka sita hujamteka moyo tu
me nakushauri anza kumpa hela, lzm attention na atizi vyote vitakuja...
Hili nalo linahitaji foo figa kupata jibu!!!!!
unatuchezea akili tu hapa we si ndo umeleta thread nawe wajiunga kushangaa
Wewe si ndiye umepost hii makitu?sasa unachohamaki as if ni mchangiaji mpya nashindwa kuelewa.mnapenda sn multiple id's sijui y?kuna kila dalili ya kuwa ulijiona umekoment kwa id nyingine kumbe umejsahau.mchezo siufagilii kbs yn.
Dah miaka sita hujamteka moyo tu