Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,136
- 6,922
Natumai mko poa,
Nina girlfriend wangu tuliedumu kwa takribani miaka miwili sasa ila ktk hali nisiotarajia baada ya kushika ujauzito wenye kama mwezi na sehemu sasa, kaanza kunichukia bila sababu.
Mwanzoni nilichukulia normal issue kwa kuzingua kunipa mapenzi ila jana ktk hali nisiotarajia nimemuomba aje ghetto cha ajabu kanitamkia live kuwa ananichukia na hataki hata kuniona kabisa, hali hii imenistua na kunipa uarakini why anichukie pasipo sababu yeyote na kibaya zaidi kwao bado hawajagundua kuwa ni mjamzito, swali ni je, wakigundua na wakataka niishi na binti yao je, ni vp nitaweza kuishi na mtu anaenichukia?
pia jambo linalonitatiza ni pale anapodai hata yeye mwenyewe haelewi sababu zinazomfanya awe hivyo, sasa najiuliza inawezekana vp mimba iwe yangu harafu anichukie au hiyo mimba ni ya jamaa mwingine TU, maana nimezoea kuona mtu anayechukiwa na mjamzito ni mtu tofauti na mwenye mimba,
Pia kwa mwenye uelewa zaidi ni kitu gani naweza kufanya ili asinichukie tafadhari anisaidie maana nampenda na sitamani ktk kipindi kama hiki awe mbali na mimi…natanguliza shukrani[emoji120]