Girlfriend wako mpe uhuru

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Kwanza nashukuru Mungu amenijalia kuishi nchi zisiopungua 10 na nimeona na nimejifunza lifestyle mbali mbali kuhusu mapenzi na nimeona watu wanavyochukulia hasa swali la mahusiano!

Ukitaka ufaidi mapenzi don't take serious, usichukulie mapenzi kwa makini sana,
shusha batani ya wivu hadi ishuke kabisa isome 0.007%. Demu wako akikwambia anataka aende club na wewe siyo mtu wa club, mwambie baby usijali unaweza kwenda na ikiwezekana mpe kabisa na pesa ya outing. Akisema baby nataka nisafiri na marafiki zangu, mwambie baby it's fine unaweza kwenda usijali, ukikutana naye yupo na mwanaume mwingine akakudanganya ni ndugu yake, wewe usihoji chochote mchangamkie tu.

N.B: mwanamke ukimpa uhuru wa kupitiliza, itafika kipindi atakuogopa sana na kujirudi kwa asilimia 100%.
 
Under certain conditions it's right. Ole wako uwe na kibamia then umpe uhuru, akionjeshwa ile kitu roho inapenda hatarudi home tenaaa.

Narudia tena, its under few conditions this will work.
 
Ndoa/mahusiano ya kizazi hiki ni ya hovyo hovyo mnoooooo. Haya mambo ya kupeana uhuru hayawasaidii chochote.
 
hata ukimkuta amejifunika shuka lililoandikwa Jiwe Guest anasukumiziwa dyu dyu take it as jokes
 
Sasa hapo kuna upendo kweli, wivu 0% arrgh, mi napenda niulizwe ulizwe ,mtu akasirike kiasi nikimuudhi, ila hiyo anakubali chochote hata utakachomdanganya dah, sijui labdaa
 
Nishawahi kumfanyia ex wangu huu mchezo hadi akawa anakasirika yeye na kuona simpendi kwakweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom