Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,029
- 22,569
Last edited by a moderator:
Wacha mchezo hakuna kitu ninachokiogopa kama lifti. Kama safari yenyewe ni ghorofa hadi tano niko radhi kutumia ngazi!
lakini kwa aliyoyafanya huyo binti, je anastahili kushtakiwa au inabakia kuwa ni uzembe wa watu wa jengo kuchelewa kutoa support
Sasa hiyo camera ndani ya lifti inafaida gani kama sio kwa ajili ya kuangalia usalama.....
Lifti nyingi zinazofungwa kwenye lift huwa ni ndogo na hazionekani kwa urahisi na hata majengo mengi hapa mjini yana camera kwenye lift na hazionekani kirahisi kiasi cha kufanya mtu aliye ndani ya lift kutofahamu na hata wengine hufikia hatua ya kufanya vioja mbali mbali (mfaano:- ukiangalia kwenye youtube) labda hii ilipelekea binti kukata tamaa na hata ku-panic hatua iliyopelekea kuanza kuharibu mlango ingawa binafsi namchukulia huyu binti kama mwehu kidogo maana hatua aliyochukua nu kubwa kulingana na mda alionasa ndani ya lift.