Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,915
hahahahahahahahahahaahhahahah jamaaaaaa wa BujiBuji kaaaaaamuuaaaaaa kuangalia je na maloveeeeeee wachinaaaaaaa wanayoooooooooooo fekiiiiiii kama bidhaaaaaaaa zao zilivyo fekiiiiiiiiiiiiiii? Ngoja akakute anauza majiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! hahahahahaMmh kazi ipo mwambie ajifunze na karate kabsaaaaaaaa,ila ka kwetu ni wazuri zaidi unatakiwa tupende vyetu kwanzA,CHINES PRODUCT ZA NN?KWANZA FEKI
hiyo iliyocharangwa kwa wino mwekundu imeniacha hoi bin taaban.inaonekana wewe na jamaa yako wote hamuwajui madem wa kichina. Kama kweli kuna suala la mapenzi mchina atakupelekesha mpaka umbebee pochi lake,umbebe na yeye mkiwa mnatembea etc. Waulize wanaowajua watakwambia. Afterall kama hujui kichina kabisa kumpata mchina sahau!!! Ni hao, ni hao kwa sana mpaka kieleweke. Hahahaha
Hahahaha habari ndio hiyo kaka!hiyo iliyocharangwa kwa wino mwekundu imeniacha hoi bin taaban.
Inaonekana wewe na jamaa yako wote hamuwajui madem wa kichina. Kama kweli kuna suala la mapenzi mchina atakupelekesha mpaka umbebee pochi lake,umbebe na yeye mkiwa mnatembea etc. waulize wanaowajua watakwambia. Afterall kama hujui kichina kabisa kumpata mchina sahau!!! ni hao, ni hao kwa sana mpaka kieleweke. hahahaha
kwenye bold hapo mkuu utakua umetia chumvi mno aisee!
imenikumbusha stori za zamani za mama na mwana, jamaa lioa mwanamke kumbe yule mwanamke alikuwa jini, akamwambia nibebe jamaa akambeba mkewe (ambaye ni jini) basi yule mwanamke akawa anamchoma yule mumuwe (mbebaji) mbavuni.. Hadi damu zikawa zinatiririka lakini jamaa akawa anaendelea kumbeba.
Huenda naye mwenzetu alishawahi kuwa na mamsapu wa kichina, akawa anambeba usiku na mchana.
Kwenye bold hapo mkuu utakua umetia chumvi mno aisee!
ki ukweli is not a joke,kubebana ni sehemu ya mapenzi ya kichina hasa penzi likiwa changa.ingawa mara nyingi ni wanaume wanaobeba mademu zao lakini wakati mwingine mamsapu anakubeba.kubebana huku si kwa kutoka mbagala mpaka mwenge,just a short distance kuonesha unajali.tatizo lingine la mabinti wa kichina,wanadeka haoo sijui ni kwa sababu wengi wao ulelewa na mabibi na mababu zao.
Ki ukweli is not a joke,kubebana ni sehemu ya mapenzi ya kichina hasa penzi likiwa changa.Ingawa mara nyingi ni wanaume wanaobeba mademu zao lakini wakati mwingine mamsapu anakubeba.kubebana huku si kwa kutoka mbagala mpaka mwenge,just a short distance kuonesha unajali.Tatizo lingine la mabinti wa kichina,wanadeka haoo sijui ni kwa sababu wengi wao ulelewa na mabibi na mababu zao.
nafikiri kingine kinachochangia ni size ya miili yao. Unafikiri dada zetu hawa jinsi wanavyofungasha utambeba utaweza?? Mbona huku bongo wanaume wa kichina wanachukua dada zetu lakini hatujaona wakiwabeba? Jamaa mwenyewe ana 52kg, dada wa kibongo ana 82kg.atamuweza?
Nafikiri kingine kinachochangia ni size ya miili yao. Unafikiri dada zetu hawa jinsi wanavyofungasha utambeba utaweza?? Mbona huku bongo wanaume wa kichina wanachukua dada zetu lakini hatujaona wakiwabeba? Jamaa mwenyewe ana 52Kg, dada wa kibongo ana 82kg.atamuweza?